Kwa kuwa Wenje lazima atapita nafasi ya Makamu Mwenyekiti Chadema, hata Mbowe akijitoa sawa tu (japo hatajitoa), chama hakitatawalika

Kwa kuwa Wenje lazima atapita nafasi ya Makamu Mwenyekiti Chadema, hata Mbowe akijitoa sawa tu (japo hatajitoa), chama hakitatawalika

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ndio hivyo. Baraza kuu lote let, akileta hoja inapigwa chini, na pale Wenje anabaki kama kiungo mchezeshaji.

Haijaisha mpaka iishe, atapigiwa hata kura ya kutokuwa na imani
 
Back
Top Bottom