Kwa kuwatukana Wabunge na kutaka kumsingizia mbunge mwenzake uongo: Nchemba si amrahisishie tu mama kazi?

Kwa kuwatukana Wabunge na kutaka kumsingizia mbunge mwenzake uongo: Nchemba si amrahisishie tu mama kazi?

KAteme

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
483
Reaction score
907
Kwa namna suala Zima la Nchemba linavyozidi kwenda Deep na kwa namna Nchemba alivyotaka kuurubuni uongozi wa Bunge ili umwadhibu Mbunge aliyerejea kashfa yake kwa wabunge.Na kwa jinsi Spika alivyomkataa kiaina ingawa kiustaarabu sana.

Na kwa Historia ya mahusiano ya Mwigulu na Jamii ya Watanzania katika Kazi yake katika Wizara ya Fedha... Waziri aoni busara kumpa unafuu Mama na kujiuzuru kwa sasa ili watu anaowahudumia (wananchi kupitia Wabunge wao) wapunguze hasira walizonazo juu yake kutokana na kauli ambazo amekua akizitoa?

Kwa mtazamo wangu nadhan ingekuwa nafuu kwake kufanya hivyo kwasababu sio jambo la Afya kuwahudumia watu wasiopenda approach yako ata kama aliyekuteua bado ana Imani na wewe lakini unaowahudumia wamenuna.
 
Back
Top Bottom