Kwa kweli katika kitu ambacho kimenishinda ktk huu ulimwengu,ni kudekeza mwanamke.

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze?
Hii kitu ya kubembeleza wanawake nimefeli aisee.
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kubembelezana?
 
Aisee kyagata ngoja nipeleke jina lako bungeni, nataka kupedekeza wanaume wanaojitambua kama wewe ambao mko wachache kujengewa sanamu kila mji.
 
Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze?
Hii kitu ya kubembeleza wanawake nimefeli aisee.
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kubembelezana?
Jidanganye kuridhisha Viumbe vilivyoshindwa kuridhika hata kwa miili yao wenyewe vikimkosoa aliyeviumba "Mungu" kwa kujipodoa miili, kufanya plastic surgery, kuweka kucha bandia, matako bandia, kope bandia, nywele bandia (mawigi), maziwa bandia n.k ilihali hujui vilizungumza nini haswa na shetani bustani Eden.

Kwanini ujichimbie kaburi kwa kuchezea bomu linaloweza kukulipukia muda wowote?
Kula bata uwezavyo bila ya kuwa mtumwa kwa Ke yeyote kimahusiano maana hatuishi milele duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Huo muda Sina na sijawahi kuupata hata kama Mimi ndo nimekosea.

Hata kwenye mahusiano tu unakuta demu anahitaji Kila siku wewe ndo umuanze kumtumia txt ukiacha anakulaumu mbona Leo hujanitafuta kulikoni?

Unalaumiwa wewe Wakati bando,simu,muda na maamzi vyote vyako asee.

Huwa nikiulizwa hivyo najibu hata Mimi sijaona msg Yako. Hujanitafuta ningejibu Nini?
 
Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze?
Hii kitu ya kubembeleza wanawake nimefeli aisee.
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kubembelezana?
wewe ukirudi ni 'mama bhoke lala nikurenge?'
 
Akivuta mdomo mi huwa ananichekesha anakuwa kama chinchochee!
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nilijua ni mimi tu mbabe wa India......kumbe familia ni kubwa
 
Kama mshazoeana ishini tu. Waacheni wenye kudekezana wadekezane.
Uzuri wapo waliobahatika kupata wa kufanana nao.
 
Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze?
Hii kitu ya kubembeleza wanawake nimefeli aisee.
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kubembelezana?

hivi boss, wewe ni Mkurya wa kyagata?
 
Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze?
Hii kitu ya kubembeleza wanawake nimefeli aisee.
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kubembelezana?
Siwezi labda awe na heshima, miti na mnyenyekevu na awe rafiki katika mwili na nafsi, chumbani awe rafiki wa kweli huyo ataona my real and org. Romanticism
 
Back
Top Bottom