Aisee kyagata ngoja nipeleke jina lako bungeni, nataka kupedekeza wanaume wanaojitambua kama wewe ambao mko wachache kujengewa sanamu kila mji.Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze?
Hii kitu ya kubembeleza wanawake nimefeli aisee.
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kubembelezana?
Jidanganye kuridhisha Viumbe vilivyoshindwa kuridhika hata kwa miili yao wenyewe vikimkosoa aliyeviumba "Mungu" kwa kujipodoa miili, kufanya plastic surgery, kuweka kucha bandia, matako bandia, kope bandia, nywele bandia (mawigi), maziwa bandia n.k ilihali hujui vilizungumza nini haswa na shetani bustani Eden.Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze?
Hii kitu ya kubembeleza wanawake nimefeli aisee.
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kubembelezana?
wewe ukirudi ni 'mama bhoke lala nikurenge?'Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze?
Hii kitu ya kubembeleza wanawake nimefeli aisee.
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kubembelezana?
Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze?
Hii kitu ya kubembeleza wanawake nimefeli aisee.
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kubembelezana?
Siwezi labda awe na heshima, miti na mnyenyekevu na awe rafiki katika mwili na nafsi, chumbani awe rafiki wa kweli huyo ataona my real and org. RomanticismKwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza.
Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze?
Hii kitu ya kubembeleza wanawake nimefeli aisee.
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kubembelezana?