Kwa kweli katika kitu ambacho kimenishinda ktk huu ulimwengu,ni kudekeza mwanamke.

Maisha yalivyo magumu na mawazo ya madeni n mikopo kweli mwanaume unabembeleza au wenzetu hamna stress
 
Wakuu mbona mnaishi kwenye ndoa kama vita? Mnaviziana sana na hao shemeji zetu hadi mnatutisha huku nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…