Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Siku hizi mpaka naogopa kuingia JF. Kila nikiangalia wenzangu JF wana maisha mazuri sana. Wana magari ,wanapata mademu wakali,wana piga stories za Uk,Usa, Pretoria,Joburg n.k aisifuye mvua imemnyea.
Wengine wanakula issue kimasikhara....mimi tu ndo naishi maisha haya.najiuliza nilikosea wapi katika kujiunga kwangu JF? Mbona wenzangu wana maisha mazuri hivi?naishi kwa kuunga unga sana hata muunganiko haupatikani.
Kila nikisoma uzi nakuta watu wanaonesha mafanikio yao. Naona hata aibu kuonekana online maana hali yangu ya mkunga nikijikuna natoka unga.
Mimi nlikosea wapi? Najiuliza mchana, najiuliza usiku. Nimekuwa naishi kwa kujificha sana humu ndani. Najiona kama nina bahati mbaya. Why Me? Kwa nini wenzangu wana enjoy life ila mimi pangu pakavu tia mchuzi?