Kwa kweli kila nikitizama wenzangu walivyo nahuzunika, nakuwa mnyonge sana. Nimekosa nini mimi?

Kwa kweli kila nikitizama wenzangu walivyo nahuzunika, nakuwa mnyonge sana. Nimekosa nini mimi?

Mkuu kwanini usimpe connection ya kujiunga Lumumba awe na yeye anapata buku7 at least itamsaidia kusogeza life.
Yeye hataki kuishi kwa kuramba matakle ya wanasiasa kama ufanyavyo wewe mkuu
 
Akina juma WAUZA matango ndio wamejaa wengi tu huku na UKUTE 75%ya watu wa humu umewazindi maisha
 
unaweza kujidanganya mkuu, wengi humu huwa tunajidanganya kwanza halafu ndio tunakuja kudanganya humu, lengo ni kujifariji tu mkuu...
 
Bro kikubwa uhai yaani kamwe mdharau aliyepoteza uhai Ila Kama Bado uko hai basi sahau yote ya nyuma alafu fanya kurestart mindset yako. Kama unavorestart computer..

Always believe In your self na pia jiulize hicho unachofanya Sasa kinakusogeza hata inch moja kwenye mafanikio Kama hapana..Basi jitambue Anza Sasa tunaishi mara moja tu na ukifa unazikwa peke yako why ujilinganishe na maisha ya watu..

Sponsored by Techno pouver3 keyboard.
 
Huku kila mtu anafanya kaz anayolipwa 3M+/month na sasa hivi wanampango wa kuachana na hizo kazi maana wanasema maslahi madogo wanaona kama wanachosha tu ubongo.

Juzi kulianzishwa uzi za kulalamikia parking kila mtu akawa analamika gari yake imepigwa faini bila sababu nikapita kimya kimya
 
Yeye hataki kuishi kwa kuramba matakle ya wanasiasa kama ufanyavyo wewe mkuu
Mimi si ishi kwa style hiyo mkuu. Naamini wewe ni Member wa Buku7 ndiyo maana nikasema umsaidie connection yako. Ila kama siyo member huko ni sawa siyo kesi.
 
Bill Lugano msaada tafadhali kwa huyu ndugu yetu mkongwe wa Jeiefu...

Mkuu msubiri tajiri atakuja na suluhu
Ana tatizo gani? Kama yupo karibu aje hapa Nipo Las Vegasi Cassino USA. kama shida ni kukosa mabint wazuri aje mi ntamlipia wapo wale wa usiku mmoja usd 2,000-5,000. Aje tu siyo issue.
 
Siku hizi mpaka naogopa kuingia JF. Kila nikiangalia wenzangu JF wana maisha mazuri sana. Wana magari ,wanapata mademu wakali,wana piga stories za Uk,Usa, Pretoria,Joburg n.k aisifuye mvua imemnyea.

Wengine wanakula issue kimasikhara....mimi tu ndo naishi maisha haya.najiuliza nilikosea wapi katika kujiunga kwangu JF? Mbona wenzangu wana maisha mazuri hivi?naishi kwa kuunga unga sana hata muunganiko haupatikani.

Kila nikisoma uzi nakuta watu wanaonesha mafanikio yao. Naona hata aibu kuonekana online maana hali yangu ya mkunga nikijikuna natoka unga.

Mimi nlikosea wapi? Najiuliza mchana, najiuliza usiku. Nimekuwa naishi kwa kujificha sana humu ndani. Najiona kama nina bahati mbaya. Why Me? Kwa nini wenzangu wana enjoy life ila mimi pangu pakavu tia mchuzi?
Unajipa presha tu. Jf ndo sehemu ya kujimwambafy. You can be anybody and anywhere mkuu. Usiwe mnyonge hii ni virtual world unaweza hata kuwa usalama wa taifa ukiwa humu. Unafail wapi mkuu?
Mimi mwenyewe kuanzia next week nitakuwa Ukraine mstari wa mbele.
 
Unajipa presha tu. Jf ndo sehemu ya kujimwambafy. You can be anybody and anywhere mkuu. Usiwe mnyonge hii no virtual world unaweza hata kuwa usalama wa taifa ukiwa humu. Unafail wapi mkuu?

Too much sadness

Hawa ndio waathirika wa mitandao ya kijamii,, Comparison imekuwa kubwa sana wanasahau uhalisia wao..

IMAGINE Jeiefu wala hata hakuna anayeweka picha, wala alipo but still mtu anaumia.,, itakuwaje sasa akienda huko Instagram au twitter.
 
Kwakweli ndio maana vibinti vikiona picha za wenzao insta basi vinachanganyikiwa kabisa
 
Humu mtandaoni ni show of..ila kwa ground mambo ni tofauti kabisa..tunateseka sana tu...labda ukiondoa Bill Lugano

#MaendeleoHayanaChama
 
Siku hizi mpaka naogopa kuingia JF. Kila nikiangalia wenzangu JF wana maisha mazuri sana. Wana magari ,wanapata mademu wakali,wana piga stories za Uk,Usa, Pretoria,Joburg n.k aisifuye mvua imemnyea.

Wengine wanakula issue kimasikhara....mimi tu ndo naishi maisha haya.najiuliza nilikosea wapi katika kujiunga kwangu JF? Mbona wenzangu wana maisha mazuri hivi?naishi kwa kuunga unga sana hata muunganiko haupatikani.

Kila nikisoma uzi nakuta watu wanaonesha mafanikio yao. Naona hata aibu kuonekana online maana hali yangu ya mkunga nikijikuna natoka unga.

Mimi nlikosea wapi? Najiuliza mchana, najiuliza usiku. Nimekuwa naishi kwa kujificha sana humu ndani. Najiona kama nina bahati mbaya. Why Me? Kwa nini wenzangu wana enjoy life ila mimi pangu pakavu tia mchuzi?
mhn! vizuri sana
  1. hata hili la kugundua maisha yako ni ya kuunga ni hatua ya mafanikio na ni mwanzo wa kutoka katika hali uliyonayo
  2. haiajlishi umeenda kwa umbali gani lakini ukigundua umekosea rudi uanze upya
  3. muda umekwenda lakini upo muda wa kila kitu na urejesho unawezekana ukijiongeza kidogo yaani kama huwezi kufanya wewe kwa kadri ya muda wape watu wafanye nawe uwape mgao wao.
  4. la msingi ni kwanza kujua nini unataka katika maisha ukijua hilo utajua thamani yake na ukijua thamani yake utaanza kujua jinsi ya kutafuta na utaweza kufanya tasmini ya jinsi gani njia zako za kutafuta zinamapungufu na utaweza kufikiria upya jinsi ya kufanya.
  5. kwa kuanzia fanya hayo kwanza kisha ukija inbox nitakupa shule nyingine kwa kuwa kuna maswali mengine ni binafsi si busara kukuuliza hapa.
 
Mwingine anamfungulia mchepuko biashara
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
UKIONA HIVYO ACHANA NA HIYO MITANDAO AU USISOME STORY ZA AKINA DEEPOND MAANA ZITAKUZIDISHIA MSONGO WA MAWAZO.
 
Ngoja kidogo nitakujibu, nipo narumbana na mama mwenye nyumba hapa kaniletea kigoma kunichamba nitoe pesa ya kodi.
ahahahaha, mkuu maisha ya social media usiyachulie serious sana usikute wewe ndio unamaisha mazuri kuliko baadhi ya watu humu.
 
Siku hizi mpaka naogopa kuingia JF. Kila nikiangalia wenzangu JF wana maisha mazuri sana. Wana magari ,wanapata mademu wakali,wana piga stories za Uk,Usa, Pretoria,Joburg n.k aisifuye mvua imemnyea.

Wengine wanakula issue kimasikhara....mimi tu ndo naishi maisha haya.najiuliza nilikosea wapi katika kujiunga kwangu JF? Mbona wenzangu wana maisha mazuri hivi?naishi kwa kuunga unga sana hata muunganiko haupatikani.

Kila nikisoma uzi nakuta watu wanaonesha mafanikio yao. Naona hata aibu kuonekana online maana hali yangu ya mkunga nikijikuna natoka unga.

Mimi nlikosea wapi? Najiuliza mchana, najiuliza usiku. Nimekuwa naishi kwa kujificha sana humu ndani. Najiona kama nina bahati mbaya. Why Me? Kwa nini wenzangu wana enjoy life ila mimi pangu pakavu tia mchuzi?
Kwani ww unaishi shimoni
 
Back
Top Bottom