Kwa kweli ni maajabu sana. Inashangaza siyo kidogo

Kwa kweli ni maajabu sana. Inashangaza siyo kidogo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Yaani kuna watu humu wanaandika mambo mpaka unajiuliza huyu naye ana demu? Aliwezaje mpata demu wake? Alitumia maneno gani kumshauri demu atoe nguo?

Maana kichwani ni empty kabisa. Unawazaaaaaa. Unasema Khaaah.... Mademu wana huruma sana. Hata huyu naye anapata wa kugegeda? Hii Dunia hiii? Haya.

Nimekuwa nikiwasoma watu humu halafu nakaa chini. Nawazaaaaaaa..... Nasema. Hiiiiiiiii.... Hata huyu naye amewahi onja papuchi? Alipataje pataje? Nagundua ni huruma tu za mademu. Maana unawaza alimshauri vipi demu mpaka akavua nguo?

But nadhani watu wa namna hiyo ni wabakaji na wanadandia tu vichaa masokoni na mitaani. Ndo umaana unamkuta maskini kichaa. Ana mimba.... Unatizamaaaaaa.... Unasema .... Hiiii. Haya. Unatikisa kichwa unajiondokea. Hatari sana sheikh.

Msichana usimpe nyapu kila mwanaume. Angalia je ana akili? Asije akawa anakumiminia tu upuuzi kila anapomaliza.
 
Kuna muda ukiongea Sana na kudhani unawasema watu ukija kushtuka unajisema bila kujua.
 
What?
 

Attachments

  • 1687531678473.jpg
    1687531678473.jpg
    37.8 KB · Views: 8
Back
Top Bottom