Kwa lawama anazopewa Hayati Magufuli na Antony Diallo wa Sahara Media ni wazi CCM ya 2015 - 2021 ina Dhambi za Dhuluma

Diallo ametoa mawazo yake. Mimi ninamsapoti Diallo kwa mawazo yake aliyoyatoa.
 
Dialo atakula jeuri yake,king'amuzi chake cha continental kinapumulia mashine chanel ovyo sana
 
Sasa hivi Sahara itakuwa kipenzi cha watanzania hasa baada ya star tv kuanza kuwaruhusu wenye akili kuanza kutema cheche zao kupitia kituo hicho.
Nahisi Sahara Media wataandamwa mno.
 
Ulichoambiwa ni kweli acha ubishi wa kijinga.
Kwanza Diallo kasema yeye hayupo SMG tena wewe unamng'ang'aniza kuendelea kuwa huko- usipotoshe watu kwa kulinda maslahi yako ya kijinga. KUA UMRI UNAENDA.
 
Si vyema kutumia neno"kondomu" unapomhusisha mkuu wa nchi.
Tubadilike na tuwe na busara.
Nimesema Rais ni Condom au nimetumia neno Condom kama Sukari au Chumvi katika kutuma Ujumbe na Kuwasilisha Hoja?

Tatizo lenu wengi wenu hamna Akili na mnakimbilia Jambo pasipo Kulielewa na mnadhani GENTAMYCINE kutumia neno Condom nimemtusi Rais.

Sasa kama neno Condom ni Tusi na baya kwanini zinanunuliwa na zinaletwa Tanzania? Hsya matangazo ya Condoms Runingani na Redioni ni Matusi?

Hivi siyo Serikali hii hii ya Rais Samia kila Siku ( kupitia Wizara husika ) inahimiza Watu kutumia Kinga hiyo ili Kuepuka na Maambukizi ya UKIMWI? Tusi huwa linatangazwa 24/7?

Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie!!!!!!

Cc: masaka kwetu
 
Hizo lawama ni nyie wachumia tumbo ndio mnatoa.Ila watanzania tumefurahia awamu ya tano!
 
Ulichoambiwa ni kweli acha ubishi wa kijinga.
Kwanza Diallo kasema yeye hayupo SMG tena wewe unamng'ang'aniza kuendelea kuwa huko- usipotoshe watu kwa kulinda maslahi yako ya kijinga. KUA UMRI UNAENDA.
Umri wangu ukienda Wewe inakuathiri nini? Nimeshawahi kuja Kwako Kukuomba Chakula? Pumbavu mkubwa Wewe. au unanilazimisha 'nikubokoe' baada ya Kugundua kwa Umri wangu unaoenda Mimi ni Mwanaume Rijali hasa?
 
Umri wangu ukienda Wewe inakuathiri nini? Nimeshawahi kuja Kwako Kukuomba Chakula? Pumbavu mkubwa Wewe. au unanilazimisha 'nikubokoe' baada ya Kugundua kwa Umri wangu unaoenda Mimi ni Mwanaume Rijali hasa?
majibu yako yanathibitisha ujinga wako
 
Mi naomba kuuliza kampeni za miezi miwili ndo zimfanye mtu ashindwe kulipa mishahara mpaka ya miezi ya nyuma b4 kampeni?kodi na michango ya hifadhi za jamii b4 kampeni?
yy alitegemea akiikampenia CCM basi atalipwa fadhila?zama za fadhila kwa wafanyabiashara zilikua za JK aliemfanya akwepe kulipa kodi for yrs and yrs so alijua akimfanya kampeni JPM itakua business as usual.[emoji1787][emoji1787]
 
Israeli naye ali tuyeyusha sana kuchelewa kufanya yake ila yote kwa yote Tuinuwe mikono juu tumshukuru Mungu maana tulikuwa tuna angamia !!
 
Kwani Mkataba wa Matangazo ya Kampeni aliingia na Magufuli au na CCM!? Au alikuwa anafanya tu bila ya Mkataba akitegemea zaidi uswahiba wake na Magu au na JK utamlinda!?
 
Amina, kwa dua mbaya alizokuwa anaombewa, mwendazake asingetoboa, ni vizuri uwepo utaratibu wa kuandaa viongozi, viongozi wengi vijana wa enzi ya mwendazake walikuwa wahuni kabisa,angekaa kwa miaka kumi tungekuwa na vijana wengi wahuni madarakani, na nchi ingeingia katika chaos, mmoja alioendekezwa na askofu pengo awe Rais(Makonda), Gwajima akaanza kuunda kundi LA viongozi wasukuma, huyu naye system imfute kisiasa
 
we ni mnafiki tu. Si ukikuwa unamsifia huku akiteka na kuua watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…