Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Si vyema kutumia neno"kondomu" unapomhusisha mkuu wa nchi.
Tubadilike na tuwe na busara.
Tubadilike na tuwe na busara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi Sahara Media wataandamwa mno.Sasa hivi Sahara itakuwa kipenzi cha watanzania hasa baada ya star tv kuanza kuwaruhusu wenye akili kuanza kutema cheche zao kupitia kituo hicho.
Ulichoambiwa ni kweli acha ubishi wa kijinga.Mkuu nimewasilisha 'Mawaidha' ya Tajiri wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mwanza Antony Dialo aliyotoka Kuyasema muda si mrefu Star Tv katika Mahojiano yake je, tatizo la GENTAMYCINE lililokukwaza ni nini? Nasubiri mrejesho wako upesi.
Cc: mwengeso
Nimesema Rais ni Condom au nimetumia neno Condom kama Sukari au Chumvi katika kutuma Ujumbe na Kuwasilisha Hoja?Si vyema kutumia neno"kondomu" unapomhusisha mkuu wa nchi.
Tubadilike na tuwe na busara.
Umri wangu ukienda Wewe inakuathiri nini? Nimeshawahi kuja Kwako Kukuomba Chakula? Pumbavu mkubwa Wewe. au unanilazimisha 'nikubokoe' baada ya Kugundua kwa Umri wangu unaoenda Mimi ni Mwanaume Rijali hasa?Ulichoambiwa ni kweli acha ubishi wa kijinga.
Kwanza Diallo kasema yeye hayupo SMG tena wewe unamng'ang'aniza kuendelea kuwa huko- usipotoshe watu kwa kulinda maslahi yako ya kijinga. KUA UMRI UNAENDA.
majibu yako yanathibitisha ujinga wakoUmri wangu ukienda Wewe inakuathiri nini? Nimeshawahi kuja Kwako Kukuomba Chakula? Pumbavu mkubwa Wewe. au unanilazimisha 'nikubokoe' baada ya Kugundua kwa Umri wangu unaoenda Mimi ni Mwanaume Rijali hasa?
Ni chizi lile.. Diallo hapo kwenye hiyo interview ametoboa siri lilikuwa na file MirembeKuna mambo mengine huwa anajibu Mungu kwa spidi ya 5G.
Ila jamaa alikuwa na roho mbaya sana,haki ya MTU unadhurumu,wangepata ajali je.
Ile kauli yake Bukoba kwenye tetemeko ndipo nilijua kichaa kabisa
Pumbavu.majibu yako yanathibitisha ujinga wako
Israeli naye ali tuyeyusha sana kuchelewa kufanya yake ila yote kwa yote Tuinuwe mikono juu tumshukuru Mungu maana tulikuwa tuna angamia !!Magufuli kama akukugusa basi wewe ulikuwa ni labda kijakazi wake
Ila naamini hata vijakazi wake walitukanwa na kudhalilishwa kwa kula bure pale ikulu
Mama Janeth kanenepa kweli nimependa na tabasamu limerudi
Mungu amlaze panapostahili huyu dicteta alinipa machungu sana huyu jamaa!!
Kwani Mkataba wa Matangazo ya Kampeni aliingia na Magufuli au na CCM!? Au alikuwa anafanya tu bila ya Mkataba akitegemea zaidi uswahiba wake na Magu au na JK utamlinda!?Kama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na 'kudharauliwa' mno na uliokuwa Utawala wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na CCM yake.
Na 99% ya Mazungumzo yake Tajiri Antony Dialo wa Sahara Media ( Wamiliki wa Vyombo vya Habari vikubwa Kanda ya Ziwa na nchini ) vya Star Tv, Radio Free Afrika na Kiss FM anaelezea jinsi Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyomtumia ipasavyo katika Kampeni zake za mwaka 2015 na alipoupata Urais akasahauliwa, hakulipwa Pesa zake hadi leo na kujikuta hata akidharaulika ndani ya CCM.
" Hakuna Vyombo vya Habari ambavyo vilifanya Kazi Kubwa ya Kumkapenia Hayati Rais Dkt. Magufuli kama vyangu na nakumbuka mara Mbili tena akiwa Jukwaani Hayati aliahidi Kukusaidia kwa Kutuinua zaidi Sahara Media ila nikashangaa amenisahau, amenitupa huku nikiwa nimeingia Hasara kubwa na Kushindwa kujiendesha mpaka Wafanyakazi wangu wakawa wananidai na wengine kunikimbia na mpaka hii leo nadai Pesa zangu nyingi tu za Malipo yangu kwa Kazi niliyomfanyia "
Hata hivyo pamoja na Tajiri Antony Dialo ( wa Sahara Media ) Kuonekana kuwa na Masikitiko mengi juu ya yote yaliyomtokea Jicho Kali la Kisaikolojia la GENTAMYCINE limenionyesha kuwa kwa 'body language' yake Runingani ni kama vile anaifurahia Kazi yake Israeli kwa Mdaiwa wake Sugu na kwamba hata kama asipolipwa Poa tu barida na haina noma.
Tafadhali CCM ya Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan nawe ( nanyi ) msije kurudia hili Kosa ya Kuvitumia baadhi ya Vyombo vya Habari ipasavyo wakati wa Kampeni zenu kama Condoms na baada ya Shughuli yenu Muhimu na Tamu Kukamilika mnawasahau / mnawatupa.
Kwani kwa Kufanya hivi Kwao huenda mkawa mnajilimbikizia tu Dhambi na Laana ya Mwenyezi Mungu ambae nae pia bila ajizi anamuagiza Mtekelezaji wake wa Kutukuka Israeli afanye yake kama ya 17 Machi, 2021 Wodini Mzena Makumbusho Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam nchini Tanzania.
Amina, kwa dua mbaya alizokuwa anaombewa, mwendazake asingetoboa, ni vizuri uwepo utaratibu wa kuandaa viongozi, viongozi wengi vijana wa enzi ya mwendazake walikuwa wahuni kabisa,angekaa kwa miaka kumi tungekuwa na vijana wengi wahuni madarakani, na nchi ingeingia katika chaos, mmoja alioendekezwa na askofu pengo awe Rais(Makonda), Gwajima akaanza kuunda kundi LA viongozi wasukuma, huyu naye system imfute kisiasaKama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na 'kudharauliwa' mno na uliokuwa Utawala wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na CCM yake.
Na 99% ya Mazungumzo yake Tajiri Antony Dialo wa Sahara Media ( Wamiliki wa Vyombo vya Habari vikubwa Kanda ya Ziwa na nchini ) vya Star Tv, Radio Free Afrika na Kiss FM anaelezea jinsi Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyomtumia ipasavyo katika Kampeni zake za mwaka 2015 na alipoupata Urais akasahauliwa, hakulipwa Pesa zake hadi leo na kujikuta hata akidharaulika ndani ya CCM.
" Hakuna Vyombo vya Habari ambavyo vilifanya Kazi Kubwa ya Kumkapenia Hayati Rais Dkt. Magufuli kama vyangu na nakumbuka mara Mbili tena akiwa Jukwaani Hayati aliahidi Kukusaidia kwa Kutuinua zaidi Sahara Media ila nikashangaa amenisahau, amenitupa huku nikiwa nimeingia Hasara kubwa na Kushindwa kujiendesha mpaka Wafanyakazi wangu wakawa wananidai na wengine kunikimbia na mpaka hii leo nadai Pesa zangu nyingi tu za Malipo yangu kwa Kazi niliyomfanyia "
Hata hivyo pamoja na Tajiri Antony Dialo ( wa Sahara Media ) Kuonekana kuwa na Masikitiko mengi juu ya yote yaliyomtokea Jicho Kali la Kisaikolojia la GENTAMYCINE limenionyesha kuwa kwa 'body language' yake Runingani ni kama vile anaifurahia Kazi yake Israeli kwa Mdaiwa wake Sugu na kwamba hata kama asipolipwa Poa tu barida na haina noma.
Tafadhali CCM ya Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan nawe ( nanyi ) msije kurudia hili Kosa ya Kuvitumia baadhi ya Vyombo vya Habari ipasavyo wakati wa Kampeni zenu kama Condoms na baada ya Shughuli yenu Muhimu na Tamu Kukamilika mnawasahau / mnawatupa.
Kwani kwa Kufanya hivi Kwao huenda mkawa mnajilimbikizia tu Dhambi na Laana ya Mwenyezi Mungu ambae nae pia bila ajizi anamuagiza Mtekelezaji wake wa Kutukuka Israeli afanye yake kama ya 17 Machi, 2021 Wodini Mzena Makumbusho Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam nchini Tanzania.
we ni mnafiki tu. Si ukikuwa unamsifia huku akiteka na kuua watu?Kama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na 'kudharauliwa' mno na uliokuwa Utawala wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na CCM yake.