SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Ccm wanajikuta Mungu ni wa kwao peke yao.Chama cha CCM kabisaaa jueni hiloo hiki chama sina kadi ila nakipendaga tokea niwe mdogo japo baba yangu hakipendi na alikufa akisema hiki chama hakuna kitu . Sasa niliamua kukipenda pindi lowassa alipo shindwa kuwa raisi kupitia chadema nikaona niwe tu huko ila leo nimekwazwa why .
MNAMTESAJE MWENZENU HIVI
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/182BUo38jj/ not good God is watching.
Ye si alijonadi kwamba haogopi chochote!! Lazima akili imuingie, anadhani mashabiki kujaa mahakamani labda watasaidia, hamna kitu, wakitoka hapo wanakwenda makwao kulala usingizi saaafi ye anadhani wanamkubali anakomaza komwe!!Chama cha CCM kabisaaa jueni hiloo hiki chama sina kadi ila nakipendaga tokea niwe mdogo japo baba yangu hakipendi na alikufa akisema hiki chama hakuna kitu . Sasa niliamua kukipenda pindi lowassa alipo shindwa kuwa raisi kupitia chadema nikaona niwe tu huko ila leo nimekwazwa why .
MNAMTESAJE MWENZENU HIVI
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/182BUo38jj/ not good God is watching.
Ona kenge hii..!Ye si alijonadi kwamba haogopi chochote!! Lazima akili imuingie, anadhani mashabiki kujaa mahakamani labda watasaidia, hamna kitu, wakitoka hapo wanakwenda makwao kulala usingizi saaafi ye anadhani wanamkubali anakomaza komwe!!
Nimemwangalia tu sina cha kusemaOna kenge hii..!
Pimbi wewe!Ye si alijonadi kwamba haogopi chochote!! Lazima akili imuingie, anadhani mashabiki kujaa mahakamani labda watasaidia, hamna kitu, wakitoka hapo wanakwenda makwao kulala usingizi saaafi ye anadhani wanamkubali anakomaza komwe!!
Mzee Wasira ndiyo amekonda hivi jamani, kweli aliumwa sana.Hawa kunguni wa kumsifu mama TOT bendi ya CCm ndio tatizo.View attachment 3375041
Kenge mama yako aliyekuzaa!Ona kenge hii..!
Pimbi mama yakoPimbi wewe!
Mbona hata wewe umekonda siyo kama ulivyokuwa mwaka jana.Mzee Wasira ndiyo amekonda hivi jamani, kweli aliumwa sana.
Gendaheka injini na body hoiMzee Wasira ndiyo amekonda hivi jamani, kweli aliumwa sana.
Yule ni Nyani pro maxMzee Wasira ndiyo amekonda hivi jamani, kweli aliumwa sana.
Kumbuka ukombozi haujawahi letwa na watu waoga kama ww ambaye hujui chochote zaidi ya kusifu tu.Ye si alijonadi kwamba haogopi chochote!! Lazima akili imuingie, anadhani mashabiki kujaa mahakamani labda watasaidia, hamna kitu, wakitoka hapo wanakwenda makwao kulala usingizi saaafi ye anadhani wanamkubali anakomaza komwe!!
Ama kweli hujafa hujaumbika, Mzee Wasira ndiyo amekongoroka hivi ! Wampumzishe tu jamani.Hawa kunguni wa kumsifu mama TOT bendi ya CCm ndio tatizo.View attachment 3375041