ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko barabara kuu.
1.HARDWARE (Vifaa vidogo vidogo vya umeme na maji)
Advantage:
-Connection ya mafundi na mimi pia ni fundi so vifaa navifanyia kazi na kuvijua.
-Sitahitaji mtu wa kumuajiri kwani atakuwepo wife wa kunishikia goli mpaka mida ya mchana naingia mimi.
-Ni vitu ambavyo haviozi wala kuharibika.
DISADVANTAGES:
-Mtaji wake ni mkubwa kidogo takriban million 4 ambazo zitatoka kwenye ku topup loan kama mnavyojua mikopo hasa ya kutopup inavyoumizaga.
-Location sio mjini kati na wala sio mitaa inayokua au kujengwa ni mitaa iliyojengeka tayari so biashara haitakuwa kubwa kivile.
2.CHIPS
Advantages:
-Itakwenda na bites, vinywaji, mishikaki n.k
-Mtaji wake ni mdogo na haihitajiki kukopa LAKI 6 ipo mfuko wa shati.
DISADVANTAGE:
-Lazima uajiri vijana wawili ambao malipo ni takriban 150,000 kwa kila mmoja jumla 300,000 kwa mwezi
Ipi unaona inafaa wakuu maana nawaza labda nichanganye zote sehemu moja ila naona kama haijakaa sawa la hardware kwa nje mikaa, moto ,viazi.
Nikitaka ni deal na kimoja nikomae na kipi?
Robert Heriel Mtibeli
Extrovert
Mad Max