Kama umeweza kufikiria kugawanya 150 kwa 3 kwanini usifikirie kuwagwanya kwa namba nyingine, kwani watu wawili hawawezi kusafiri na mabegi zaidi ya 6?kwa lugha rahisi kabisa mwanadada agnes masogange alipita na kilo 150 za madawa ambazo ni sawa na mifuko mitatu ya cement kwani mfuko mmoja una kilo 50 sasa sijui alibebaje
nina majina ya wauza unga nita wataja_jk
Kama umeweza kufikiria kugawanya 150 kwa 3 kwanini usifikirie kuwagwanya kwa namba nyingine, kwani watu wawili hawawezi kusafiri na mabegi zaidi ya 6?
appoh kama hujui kitu ni bora ukauliza!!!!!!!kwa lugha rahisi kabisa mwanadada agnes masogange alipita na kilo 150 za madawa ambazo ni sawa na mifuko mitatu ya cement kwani mfuko mmoja una kilo 50 sasa sijui alibebaje

kweli nilishawahi kuuliza na kuambiwa kwamba siyo kama kilo ya unga wa ugaliappoh kama hujui kitu ni bora ukauliza!!!!!!!
Mtu akikwambia kilo 150 za unga(madawa ya kulevya) hata nusu kilo
ya sukari inaweza isifike.......
Kuna namna ya upimaji wake.
Usidhanie ni kama ile kilo ya kawaida.....
kweli nilishawahi kuuliza na kuambiwa kwamba siyo kama kilo ya unga wa ugali