kwa lugha ya picha AGNES MASOGANGe alipita na mifuko 3 ya cement

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
kwa lugha rahisi kabisa mwanadada agnes masogange alipita na kilo 150 za madawa ambazo ni sawa na mifuko mitatu ya cement kwani mfuko mmoja una kilo 50 sasa sijui alibebaje
 
Walikuwa na mabegi sita, wakiweka kilo 25 kwa kila begi, unabeba mzigo kiulaini.
 
wamekamatwa kazini awajakamatwa kitandani.
 
kwa lugha rahisi kabisa mwanadada agnes masogange alipita na kilo 150 za madawa ambazo ni sawa na mifuko mitatu ya cement kwani mfuko mmoja una kilo 50 sasa sijui alibebaje
Kama umeweza kufikiria kugawanya 150 kwa 3 kwanini usifikirie kuwagwanya kwa namba nyingine, kwani watu wawili hawawezi kusafiri na mabegi zaidi ya 6?
 
nina majina ya wauza unga nita wataja_jk
 
Unashangaa hilo?Kapandishwa TWIGA hapo jknyerere airport sembuse hiyo gunia moja na nusu la mahindi(kilo 150 za unga)

NaSent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mzigo wa riz hamna noma atatoka kama alivyotoka yeye china.
 
Fanya yako utachelewa kupa pesa mjini hapa!.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kama umeweza kufikiria kugawanya 150 kwa 3 kwanini usifikirie kuwagwanya kwa namba nyingine, kwani watu wawili hawawezi kusafiri na mabegi zaidi ya 6?

whatever the case lakini kilo 150 kwenye mabeg sita si wanahama hawa au waliondoka kama watalii
 
Fanya yako utachelewa kupa pesa mjini hapa!.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

kweli lakini hi inanihusu watanzania wenzangu wanakufa kwa drugs rip mangwear
 
haka ka masogange ni ka malaya hatari search YouTube andika Agnes masogange utajionea
 
kwa lugha rahisi kabisa mwanadada agnes masogange alipita na kilo 150 za madawa ambazo ni sawa na mifuko mitatu ya cement kwani mfuko mmoja una kilo 50 sasa sijui alibebaje
appoh kama hujui kitu ni bora ukauliza!!!!!!!

mtu akikwambia kilo 150 za unga(madawa ya kulevya) hata nusu kilo
ya sukari inaweza isifike.......
kuna namna ya upimaji wake

usidhanie ni kama ile kilo ya kawaida.....
 
Last edited by a moderator:

Mtu akikwambia kilo 150 za unga(madawa ya kulevya) hata nusu kilo
ya sukari inaweza isifike.......
Kuna namna ya upimaji wake.
Usidhanie ni kama ile kilo ya kawaida.....
kweli nilishawahi kuuliza na kuambiwa kwamba siyo kama kilo ya unga wa ugali
 
Back
Top Bottom