DOKEZO Kwa Lugumi na Miss Rwanda 2016, Dola isiruhusu mahusiano ya Lugumi na Viongozi waandamizi nchini na asipewe kazi yoyote ndani ya Majeshi!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
By then Lugumi alikuwa akipewa michongo na hayati maana ni jamaa yake wa karibu akiwa Nyanza Mwanza hayati nje ya gate la Nyanza Lugumi alikuwa shoe shiner so michongo mingi
Hata kama humpendi Hayati acha kumsingizia vitu vingine vya ajabu na akili yako ya kimavimavi. Hakuna kipindi huyu Lugumi alipata kipindi kigumu kama kipindi cha utawala wa hayati hadi baadhi ya mali zake kupigwa mnada nadhani ulikuwa bado mtoto mdogo
 
Inasemekana Rwanda ni maarufu ya kutumia warembo wake kiujasusi. Kama Lugumi anadeal na tenda za kijeshi basi huyo demu wa kinyarwanda atakuwa ashasoma ramani kubwa sana
 
Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.

Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na Taasisi ya kijasusi ilofanikiwa Hapa Africa na Duniani, na Huenda baadhi ya Oparesheni za Rwanda ,huwaacha watu midomo wazi, Hilo halikuja Kwa bahati mbaya, Uwekezaji mkubwa, watu kufundishwa uzalendo na utaifa wangali wadogo ndo kunafanya Taasisi za Ujasusi za Rwanda kuonekana tishio .

Ikiwa kweli Bilionea Lugumi yuko Penzin na Miss Rwanda,

Na Kwamba sasa Bilionea Lugumi yuko karibu sana na viongozi waandamizi wa Nchi hii .

Na wengine siku hizi wanadai anatafutiwa Dili majeshini .

Kuna Haja ya Taa Nyekundu Kuwaka Kwa masilahi Mapana ya Taifa

Penzi lake libaki kua lake, ila Kwa namna yoyote Ile lisiruhusiwe kua na matokeo Kwa Taifa !!

View attachment 3198578
.
View attachment 3198580

Duuhh Jamaa anakojoa pazuri, huyu demu hata maji yake alofulia Chupi au aloogea unaweza kuyanywa kama maji ya kunywa simply because she is so fine
Hivi historia ya Said Lugumi unaijua? Au umeidandia kwa mbele?
 
By then Lugumi alikuwa akipewa michongo na hayati maana ni jamaa yake wa karibu akiwa Nyanza Mwanza hayati nje ya gate la Nyanza Lugumi alikuwa shoe shiner so michongo mingi
Uongo wa kiwango cha SGR...godamn!
 
Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.

Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na Taasisi ya kijasusi ilofanikiwa Hapa Africa na Duniani, na Huenda baadhi ya Oparesheni za Rwanda ,huwaacha watu midomo wazi, Hilo halikuja Kwa bahati mbaya, Uwekezaji mkubwa, watu kufundishwa uzalendo na utaifa wangali wadogo ndo kunafanya Taasisi za Ujasusi za Rwanda kuonekana tishio .

Ikiwa kweli Bilionea Lugumi yuko Penzin na Miss Rwanda,

Na Kwamba sasa Bilionea Lugumi yuko karibu sana na viongozi waandamizi wa Nchi hii .

Na wengine siku hizi wanadai anatafutiwa Dili majeshini .

Kuna Haja ya Taa Nyekundu Kuwaka Kwa masilahi Mapana ya Taifa

Penzi lake libaki kua lake, ila Kwa namna yoyote Ile lisiruhusiwe kua na matokeo Kwa Taifa !!

View attachment 3198578
.
View attachment 3198580

Duuhh Jamaa anakojoa pazuri, huyu demu hata maji yake alofulia Chupi au aloogea unaweza kuyanywa kama maji ya kunywa simply because she is so fine
Uzi fikirishi sana huu mkuu ni wachache sana wataweza kuufikiria kwa kina...
 
Nilidhani she's beautiful, kumbe she's fine!! OK, ila kiukweli sio mzuri,ni msafi tu.
 
Back
Top Bottom