Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Wifuuhh naulilia wangu kumoyox 2Kama mwanasesere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wifuuhh naulilia wangu kumoyox 2Kama mwanasesere
Movies zinakudanganya mkuu..Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.
Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na Taasisi ya kijasusi ilofanikiwa Hapa Africa na Duniani, na Huenda baadhi ya Oparesheni za Rwanda ,huwaacha watu midomo wazi, Hilo halikuja Kwa bahati mbaya, Uwekezaji mkubwa, watu kufundishwa uzalendo na utaifa wangali wadogo ndo kunafanya Taasisi za Ujasusi za Rwanda kuonekana tishio .
Ikiwa kweli Bilionea Lugumi yuko Penzin na Miss Rwanda,
Na Kwamba sasa Bilionea Lugumi yuko karibu sana na viongozi waandamizi wa Nchi hii .
Na wengine siku hizi wanadai anatafutiwa Dili majeshini .
Kuna Haja ya Taa Nyekundu Kuwaka Kwa masilahi Mapana ya Taifa
Penzi lake libaki kua lake, ila Kwa namna yoyote Ile lisiruhusiwe kua na matokeo Kwa Taifa !!
View attachment 3198578
.
View attachment 3198580
Duuhh Jamaa anakojoa pazuri, huyu demu hata maji yake alofulia Chupi au aloogea unaweza kuyanywa kama maji ya kunywa simply because she is so fine
Well said mkuu..Yaani mtu asijifurahishe kisa fikra zako potovu.
Lugumi mskuma, binafsi nina rafiki Msukuma, mke wake mnyarwanda na uncle zake wanyarwanda.
But that has nothing to do with national security.
Watanzania tujipange kwenye usalama ukienda US maafisa wao wa usalama ni raia wa nchi zote duniani.
Muhimu ni kwenye ku-control activities zao.
Yaani mahela yote ya Lugumi asifurahi kivipi ata kama yeye mwenyewe asili yake mnyarwanda.
Jipange kwenye ulinzi wako, wapiga deal ni wowote, hata huko Rwanda kuna wapiga deal wenye ndugu Tanzania.
I see, kwa kipi hapo cha ziada?Wallah hapo shekhe wangu hata condom unaitupa uvunguni
Sio dada yangu wa kuzaliwa yeye muhangaza, mimi mnyalukolo (rafiki wa dada zangu)Oya mwanangu huyo dada yako kama hajaolewa naomba namba tuunge udugu asee. umesema ni mnyarwanda ee?
Ni mzabuni wa majeshi huyo kama sijakosea.Lugumi anauza silaha za kijeshi kwa majeshi ya serikali na.....???
J.F kama Dodoma. Kila mtu Usalama wa Taifa..Kweli kabisa aisee.
Ni vyema ununuzi wa vifaa vya kijeshi haswa siraha na other protective gears vifanywe na jeshi lenyewe, kwa kuna hatari ya kufanyika bio engineering (wanajeshi wakapelekewa gears zenye virus n.k) pia aina ya silaha zinazonunuliwa na serikali na stock yake kwasababu huyu lugumi atakuwa anajua n.k
yaani ni balaa tupu na vp wahuni wakimtaiti na kifinyo juu si atatema siri zote huyu tutabaki weupe kabisa..tatizo la nchi hii ni wanasiasa kwao kila manunuzi ni dili wanataka wawepo ili kupata 10% na hayo madili huyu jamaa hali peke yake ni chain ndefu ya watu wengi.Kweli kabisa aisee.
Ni vyema ununuzi wa vifaa vya kijeshi haswa siraha na other protective gears vifanywe na jeshi lenyewe, kwa kuna hatari ya kufanyika bio engineering (wanajeshi wakapelekewa gears zenye virus n.k) pia aina ya silaha zinazonunuliwa na serikali na stock yake kwasababu huyu lugumi atakuwa anajua n.k
Mkuu acha kujitekenya, labda kama sio msomaji na mfatiliaji wa matukio mbalimbali hapa Duniani.Movies zinakudanganya mkuu..
Sawa..Mkuu acha kujitekenya, labda kama sio msomaji na mfatiliaji wa matukio mbalimbali hapa Duniani.
Umefatilia Oparesheni za kijasusi za Israel wanavyotumia Wafanyabiashara??.
Muongo wewe!By then Lugumi alikuwa akipewa michongo na hayati maana ni jamaa yake wa karibu akiwa Nyanza Mwanza hayati nje ya gate la Nyanza Lugumi alikuwa shoe shiner so michongo mingi
Tatizo la JF kila mmoja ni TISS kasoro mimi tu..Yaani mtu asijifurahishe kisa fikra zako potovu.
Lugumi mskuma, binafsi nina rafiki Msukuma, mke wake mnyarwanda na uncle zake wanyarwanda.
But that has nothing to do with national security.
Watanzania tujipange kwenye usalama ukienda US maafisa wao wa usalama ni raia wa nchi zote duniani.
Muhimu ni kwenye ku-control activities zao.
Yaani mahela yote ya Lugumi asifurahi kivipi ata kama yeye mwenyewe asili yake mnyarwanda.
Jipange kwenye ulinzi wako, wapiga deal ni wowote, hata huko Rwanda kuna wapiga deal wenye ndugu Tanzania.
Shida zaidi ni hii dhana ya mistrust on grounds of xenophobia and religious differences (halafu mods wanachekea kweli hizo mada).Tatizo la JF kila mmoja ni TISS kasoro mimi tu..
Yes upo sahihi sana mkuu. Mbona professor Sarungi ana ndugu yake mmoja aliwahi kuwa Waziri Kenya..Shida zaidi ni hii dhana ya mistrust on grounds of xenophobia and religion.
Ni kutoka kwa watu wasiojichanganya.
Sote tunajua ‘bi-tozo’ anavyotaka kutengeneza mazingira ya kupita kirahisi 2025. Aliweka DGIS mzanzibari akizani atachezea kazi yake.
Kibaya zaidi alichagua mtu ambae ni proper system ya usalama hajui lolote nje ya usalama; yeye mwenyew ilibidi amteme hata miezi minne aikufika. Unacheza.
Tuache hizi tabia za kushutumu majirani zetu au kutaka kutengeneza udini.
Mkuu wivu kisa wanawake? Itakua hatuna mambo ya kufiria labda🤔Acheni wifuuh kila mutu ashinde mechi zake....niko Namanga kama Mogadishu
Aiseee.....ila kunyanza H20 hatari sana.... INATAKIWA wewe ndo uwajibike kumpiga katerero (known in Rwanda as kunyanza) ndo hisia zake ziamke!
😅![]()