Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kumbuka kauli ya CDFwatu wanazichukulia poa sana security agency za TZ kina born town wameeaza kwenda ussr na china 1980s huko kupata mafunzo leo waje wazidiwe ujanja kirahisi ivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka kauli ya CDFwatu wanazichukulia poa sana security agency za TZ kina born town wameeaza kwenda ussr na china 1980s huko kupata mafunzo leo waje wazidiwe ujanja kirahisi ivo
Sawa lugumi naona unatutishia. Hata sisi tuna vyombo kali sanaUnaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.
Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na Taasisi ya kijasusi ilofanikiwa Hapa Africa na Duniani, na Huenda baadhi ya Oparesheni za Rwanda ,huwaacha watu midomo wazi, Hilo halikuja Kwa bahati mbaya, Uwekezaji mkubwa, watu kufundishwa uzalendo na utaifa wangali wadogo ndo kunafanya Taasisi za Ujasusi za Rwanda kuonekana tishio .
Ikiwa kweli Bilionea Lugumi yuko Penzin na Miss Rwanda,
Na Kwamba sasa Bilionea Lugumi yuko karibu sana na viongozi waandamizi wa Nchi hii .
Na wengine siku hizi wanadai anatafutiwa Dili majeshini .
Kuna Haja ya Taa Nyekundu Kuwaka Kwa masilahi Mapana ya Taifa
Penzi lake libaki kua lake, ila Kwa namna yoyote Ile lisiruhusiwe kua na matokeo Kwa Taifa !!
View attachment 3198578
.
View attachment 3198580
Duuhh Jamaa anakojoa pazuri, huyu demu hata maji yake alofulia Chupi au aloogea unaweza kuyanywa kama maji ya kunywa simply because she is so fine
uchafu wote upo under control now local government ready improved apo ndio sehemu ambayo mistake ilitokeaKumbuka kauli ya CDF
Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.
Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na Taasisi ya kijasusi ilofanikiwa Hapa Africa na Duniani, na Huenda baadhi ya Oparesheni za Rwanda ,huwaacha watu midomo wazi, Hilo halikuja Kwa bahati mbaya, Uwekezaji mkubwa, watu kufundishwa uzalendo na utaifa wangali wadogo ndo kunafanya Taasisi za Ujasusi za Rwanda kuonekana tishio .
Ikiwa kweli Bilionea Lugumi yuko Penzin na Miss Rwanda,
Na Kwamba sasa Bilionea Lugumi yuko karibu sana na viongozi waandamizi wa Nchi hii .
Na wengine siku hizi wanadai anatafutiwa Dili majeshini .
Kuna Haja ya Taa Nyekundu Kuwaka Kwa masilahi Mapana ya Taifa
Penzi lake libaki kua lake, ila Kwa namna yoyote Ile lisiruhusiwe kua na matokeo Kwa Taifa !!
View attachment 3198578
.
View attachment 3198580
Duuhh Jamaa anakojoa pazuri, huyu demu hata maji yake alofulia Chupi au aloogea unaweza kuyanywa kama maji ya kunywa simply because she is so fine
Mkuu POKEA USHINDI WA KISHINDO...Akili za kitoto hivi unajua wasukuma wangapi wenye uncles Rwanda?
Utakawashuku wote, hiyo si xenophobia, mie nina dada yangu kutoka Ngara anatema Kinyarwanda, lakini mswazi huyo Mwajuma wa Tandale aingii. Na habari za Rwanda hana habari nazo kabisa.
Na nina rafiki msukuma ana uncle wanyarwanda na mkewe wa huko huko lakini akili yake Tanzania.
Kuna mix, issue ya usalama ni kujipanga kwa mtindo wao. Lakini sio kupangia raia. Lugumi apigi deal kwa sababu ya Kagame atapiga deal kwa sababu majizi serikalini yanadhani anafaa kupiga deal nae kama mtanzania mwingine yeyote.
Akipata hela atavyoamua kujifurahisha ni yeye. Tuache hizi tabia za kuwabagua watu.
Ulinzi ni swala lingine na deal ni swala lingine; kesho Bashe akiokiota mtoto wa kisonjo it has nothing to do with national security.
Vita yako ni uzalendo, pamoja na makelele ya ACT-Wazalendo na watu kama kuna OMO; kuna maafisa usalama kutoka huko visiwani wanailinda Tanzania wabara awaingii,
Tuache hizi chuki za kupakazia watu mambo,
Siku ya Gulioooo.....😃😃"Duuhh Jamaa anakojoa pazuri, huyu demu hata maji yake alofulia Chupi au aloogea unaweza kuyanywa kama maji ya kunywa simply because she is so fine."
Madhara ya kuruka nyeto kwenye makuzi ndio haya.
Mkuu hiyo hadithi ya siku ya gulio ipo kwenye kile kitabu cha hadithi ya machaku na njiwa😆Siku ya Gulioooo.....😃😃
Mbona wa kawaida sanaWallah hapo shekhe wangu hata condom unaitupa uvunguni
Juzi kati ktk pitapita zangu nilikutana na wadada kutoka kwa pk hapo Dom.Siwezi kusema ni hao implanted ama laa maana sikuchunguza chochote juu yaoHivi wale wanawake waliokuwa implanted Dodoma kuwafurahisha wagonga meza waliishia wapi
Mkuu mkuu kama ni kweli uhusiano upo tena mkubwa sana sana kuliko unavyofikiri, tuliza kichwa tafakari utapata majibu magumu sana kwa maswali rahisiKuna uhusiano gani kati ya usalama wa nchi na jamaa kwenda kuzagamua miss Rwanda?
Ina maana hii nchi usalama wake upo mikononi mwa Lugumi?
Wengi waliondoka huwa wanakwenda na kurudiHivi wale wanawake waliokuwa implanted Dodoma kuwafurahisha wagonga meza waliishia wapi