JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Upuuzi mwingine, Rwanda phobia! Fear of of people with rwandese ethinic background, acha kujifsnya unajua ujasusi, kwa tasrifa yako,military officers wa Rwanda wapo baadhi wanafundisha chuo cha maofisa, TMA Arusha, majasusi wapo ubalozini kwao, hapa Dar, yaani wamtumie huyo msichana kufanaya ujasusi, wakati wapo na nanafsi kibao za kufanya ujasusi,Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.
Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na Taasisi ya kijasusi ilofanikiwa Hapa Africa na Duniani, na Huenda baadhi ya Oparesheni za Rwanda ,huwaacha watu midomo wazi, Hilo halikuja Kwa bahati mbaya, Uwekezaji mkubwa, watu kufundishwa uzalendo na utaifa wangali wadogo ndo kunafanya Taasisi za Ujasusi za Rwanda kuonekana tishio .
Ikiwa kweli Bilionea Lugumi yuko Penzin na Miss Rwanda,
Na Kwamba sasa Bilionea Lugumi yuko karibu sana na viongozi waandamizi wa Nchi hii .
Na wengine siku hizi wanadai anatafutiwa Dili majeshini .
Kuna Haja ya Taa Nyekundu Kuwaka Kwa masilahi Mapana ya Taifa
Penzi lake libaki kua lake, ila Kwa namna yoyote Ile lisiruhusiwe kua na matokeo Kwa Taifa !!
View attachment 3198578
.
View attachment 3198580
Duuhh Jamaa anakojoa pazuri, huyu demu hata maji yake alofulia Chupi au aloogea unaweza kuyanywa kama maji ya kunywa simply because she is so fine
Inajulikana, wajaruo,masai,wapo Kenya, na Bongo, na hata mjaluo au mmasai akishika nafsi kubwa serikalini, wa bongo wenye akili kama zako, wala hawaoni tishio, ngoja MTU kutoka Kagera, karagwe,tena awe na pua nyembamba kama watusi, ashike nafasi, conspiracy kibao zitasemwa,
Rwanda anaweza akawatumia watu kutoka jamii za kimasai, kijaluo, akawapa mountain, na akatengeneza jasusi hatari, maana hayo makabila, bongo hayaogopeki kabisa,
Ujasusi sio bongo fleva, au post za Instagram.
