rugilandavyi
Member
- Apr 2, 2014
- 12
- 11
Nilikuwa sijawahi kukutana na atheists wakitanzania wazuri katika mada kiasi nilichokiona humu, mimi siamini katika uwepo wa mungu naaiamini saaana sayansi kwani imenifungua akili kuujua ulimwengu.Big up sana fellow atheists of Tanzania.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
HORSE POWER........Science is a study/understanding of our nature and reality,as far as we know,500 years of doing science hakuna supernatural event ever been detected.......so the existence of God(s) is something of a myth and fairy tale
Hello godless folks,heretics,heathens,Atheists,Agnostics,humanists,freethinkers,skeptics.....mambo vp
Nawapa salama wote,na kuwafahamisha tuko kwenye hii society
Sayansi ni elimu ya kutambua asili yetu na uhalisia.Sijakataa.Asili ya sayansi ni nini au nani au wapi kwa sababu hao wanasayansi hiyo sayansi wameikuta;yaani ni kwamba wanafanyia tafiti kitu ambacho kipo.
Do you want to know Origin of Science as word or as Field?
The word science itself came from latin language which means knowledge
But Evolution of science as Field or rational way of reasoning and discovering,is traced back to Ancient Greek's philosopher called Aristotle,the Founder of science.
If you are Intellectually honest to accept the Evidence,please visit this Page.
ORIGIN OF SCIENCE
Mkuu science haina founder mmoja tu Aristotle mwenyewe alikuta baadhi ya vitu vimeshakuwa noted afu hakufanya miracle sana kama Miles of Thales so science imeanza muda katika jamii zote yani uhai ulivyo exist tu na science ikazaliwa
Umesomeka kiongoziMkuu nimesema hivyo kwasababu.
Aristotle alikuwa tofauti ya wanafalsfa wengine.
Yeye ndiye aliyesema kuwa ili Nadharia ikubaliwe lazima iwe verified na Experiment
Na Experiment ndiyo Msingi mkubwa wa science.
scientific society inamtambua yeye kama Mwanasayansi wa kwanza.
Hello godless folks,heretics,heathens,Atheists,Agnostics,humanists,freethinkers,skeptics.....mambo vp
Nawapa salama wote,na kuwafahamisha tuko kwenye hii society
Einstein vs Tesla
Tesla hata kwa Age kampita Einstein nafikiri utafute mambo waliofanya utagundua N.Tesla yuko juu
Mkuu una Mess up vitu,Albert ni Theoretical physcist wakati N.tesla ni Experimental physicist.Vitu viwili tofauti
Yaani ni sawa na kumlinganisha Donald trump na Tiger wood
But all in all,N.tesla anaweza akawa juu zaidi kwasababu jina la Einstein Limekuzwa zaidi na Media za America
Mkuu hata N.Tesla pia ame theorized vitu mingi tu pia N.Tesla alifika chuo kikuu japo alifukuzwa .sijajua kwa Albert kwa inshu ya imagination Wanaweza kuwa equal mana Tesla alikuwa anaanza ku imagine then ndo ana sketch diagram na kuunda kitu, Tuanze kuweka vitu walivyo patent?