Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Hoja za atheists hazina nguvu kwa sababu nao wanaamini kwamba Mungu hayupo ila hawana uhakika/ushahidi wa yeye kutokuwepo. Je wanaweza kututhibitishia kwamba Mungu hayupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Einstein huwezi mkubali kamwe maana alikuwa anaamini uwepo wa MUNGU.Mkuu una Mess up vitu,Albert ni Theoretical physcist wakati N.tesla ni Experimental physicist.Vitu viwili tofauti
Yaani ni sawa na kumlinganisha Donald trump na Tiger wood
But all in all,N.tesla anaweza akawa juu zaidi kwasababu jina la Einstein Limekuzwa zaidi na Media za America zinazo milikiwa na Jews
Bravo
Chochote kitakacho kuwa mbele yako... Ila kama haujazoea itakuwia ngumu sana..OK, nimekupata mkuu! Je, ni vitb gn hvyo mkuu?!
Very confusing indeed. Just going round in circles and ending nowhere with nothing.a very very complicated and confusing doctrine?![]()
sana mkuu tesla ni bonge la jembeTesla hata kwa Age kampita Einstein nafikiri utafute mambo waliofanya utagundua N.Tesla yuko juu
There is no magic in atheism..Very confusing indeed. Just going round in circles and ending nowhere with nothing.
Ambaye hana hofu yoyote anaweza kufanya chochote, na anayeweza kufanya chochote hawezi kuwa mwema.Baada ya kuchunguza vizuri nimekuja kugudnua watu wasioamini Mungu wengi wao ni watu wema sana, sio wanafiki na hawana uoga.
Mbona hao walio na hofu ndio wataalam wa kufanya mabaya ?! Rejea US mass shootings zote zinazotokea wahusika huwa wanajinasibisha na aethism or theism ?!Ambaye hana hofu yoyote anaweza kufanya chochote, na anayeweza kufanya chochote hawezi kuwa mwema.
Kuclaim kufanya kazi ya mungu na kufanya kazi ya mungu ni vitu viwili tofauti. Anayefanya kazi ya Mungu ataonekana kwa matendo yake na hata bila kusema utasikia watu wenyewe wanasema hakika huyu ni mtumishi wa mungu. Ambao matendo yao ni tofauti na matarajio ya watu hao wamegeuza jina la mungu kichaka cha kuficha uovu wao, hivyo ni sawa na ambao ulisema hawana hofu yoyote.Mbona hao walio na hofu ndio wataalam wa kufanya mabaya ?! Rejea US mass shootings zote zinazotokea wahusika huwa wanajinasibisha na aethism or theism ?!
Hata hitler mwenyewe alisema kabisa kuwa anaamini kuwa kwa kitendo cha kuwaua wayahudi ilikuwa anafanya kazi ya mungu ![emoji57] [emoji57]
Kwa mfano crusade na jihad zilikuwa kazi ya mungu au ya binadamu ?!Kuclaim kufanya kazi ya mungu na kufanya kazi ya mungu ni vitu viwili tofauti. Anayefanya kazi ya Mungu ataonekana kwa matendo yake na hata bila kusema utasikia watu wenyewe wanasema hakika huyu ni mtumishi wa mungu. Ambao matendo yao ni tofauti na matarajio ya watu hao wamegeuza jina la mungu kichaka cha kuficha uovu wao, hivyo ni sawa na ambao ulisema hawana hofu yoyote.
That is obvious. They will be seen by the type of fruits they yield. You cant kill on behalf of God, since one of the laws of God is that, "DONT KILL"Kwa mfano crusade na jihad zilikuwa kazi ya mungu au ya binadamu ?!
Haujajibu swali langu..[emoji57] [emoji57]That is obvious. They will be seen by the type of fruits they yield. You cant kill on behalf of God, since one of the laws of God is that, "DONT KILL"