Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa nini unaamini kitabu kinachojipinga chenyewe kama kitabu kitakatifu?kianzirishi n Muumba mbingu na dunia yaan Mungu... wakolosai 1:15-17
inasema... Naye n mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliw wa kwnz wa viumbe vyote. kw kuw ktk yy vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbingun na vilivyo juu ya nchi, viavyoonekana na visivyoonekana; ikiw n vitu vya enz, au usultan, au enz, au mamlaka; vitu vyote viliumbw kw njia yake, na kw ajili yake. naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana ktk yy.