Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,790
- 3,263
Very confusing indeed. Just going round in circles and ending nowhere with nothing.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very confusing indeed. Just going round in circles and ending nowhere with nothing.
Use your head to discern what is written. If you want yes or no type of answers, i am not that type.Haujajibu swali langu..[emoji57] [emoji57]
Tafsiri ya neno Mungu kwa Einstein ilikuwa ni tofauti sana na yakoEinstein huwezi mkubali kamwe maana alikuwa anaamini uwepo wa MUNGU.
mshana jr said:Ngoja nikae vema niongeze maarifa zaidi, nimejiapiza kutounyima ubongo wangu maarifa
Atheism ni kitu kinachochanganya wengi huku wengine wakiihusisha na satanism na leciferianism
Acha kupuyanga puyanga mkuu... Nimehitaji jibu unaleta siasa.. Kama hauwezi kujibu comments inavyotakiwa unaweza ukawa msomaji tu..[emoji57]Use your head to discern what is written. If you want yes or no type of answers, i am not that type.
Heri wewe,mwenye chembe chembe ya upendo katika moyo wako kiasi cha kuonea huruma ndugu zakonawaonea huruma watu wote wasioamini MUNGU siku ya mwisho sijui mtajibu nini?
mshana jr said:a very very complicated and confusing doctrine?
Who made the creator?Atheism is another madness of humans trying to know more than their creator.
Scientific logic upon which you rely so much remains valid only until proven otherwise something that has happened many times. And lack of proof concerning presence of God further proves his ability beyond human comprehension.I for one, embrace reason over faith.
I am an atheist because the god idea lacks reason and logic, and so far as it has been presented to me, it is contradictory and non sustaining.
How does lack of proof concerning the presence of good prove that god is beyond human comprehension?Scientific logic upon which you rely so much remains valid only until proven otherwise something that has happened many times. And lack of proof concerning presence of God further proves his ability beyond human comprehension.
Tofautisha namna Mungu alivyoelezwa ili binadamu amuelewe na Mungu alivyo....Tafsiri ya neno Mungu kwa Einstein ilikuwa ni tofauti sana na yako
Einstein hakuamini uwepo wa Mungu mwenye sifa za kibinadamu
[Personal God]
Mungu mwenye wivu na upendo.
Ni logic na reason gani inayokukubalia kuwepo vitu hivi hivi tu?I for one, embrace reason over faith.
I am an atheist because the god idea lacks reason and logic, and so far as it has been presented to me, it is contradictory and non sustaining.
Wapi nimesema vitu vipo hivi hivi tu?Ni logic na reason gani inayokukubalia kuwepo vitu hivi hivi tu?
Sisi tunaosema kuna Mungu tunamaanisha kwamba kuna mwanzilishi wa kila kitu,wewe unaesema hakuna Mungu unkuwa moja kwa moja unakana kuwepo kwa mwanzilishi.....Wapi nimesema vitu vipo hivi hivi tu?
"Vitu vipo hivi hivi tu" maana yake nini?
Kwa nini ni lazima iwe "muanzilishi"?Sisi tunaosema kuna Mungu tunamaanisha kwamba kuna mwanzilishi wa kila kitu,wewe unaesema hakuna Mungu unkuwa moja kwa moja unakana kuwepo kwa mwanzilishi.....
Kama unakubali kuna mwanzilishi wa vyote kunakuwa hakuna kesi hapa kwasababu utakuwa unakubaliana na sisi kuwa yupo mwanzilishi na inawezekana tukawa tunatofautiana namna ya kumuelezea tu
Kama hukatai kuwepo mwanzilishi sema hapa hapa....
Kwa swali lako hili ndipo unaona maana ya swali langu la kwanza nililokuuliza....Kwa nini ni lazima iwe "muanzilishi"?
Kwa nini ni lazima iwe "muanzilishi" na si kingine chochote?Kwa swali lako hili ndipo unaona maana ya swali langu la kwanza nililokuuliza....
Jibu la sali hili lipo hapo kwenye swali langu la kwanza.....
Naamini hata wewe unaelewa Kiswahili....Kwa nini ni lazima iwe "muanzilishi" na si kingine chochote?
Sijaona jibu hilo. Naomba nionyeshe.
Ninapoandika "muanzilishi" namaanisha "muanzilishi".
Natumaini Kiswahili unaelewa.
Hapo ndio kuna sababu ya kuwepo muanzilishi....Ni logic na reason gani inayokukubalia kuwepo vitu hivi hivi tu?