Kwa ma-atheist

Kwa ma-atheist

Very confusing indeed. Just going round in circles and ending nowhere with nothing.
1457372236537.jpg
 
nawaonea huruma watu wote wasioamini MUNGU siku ya mwisho sijui mtajibu nini?
 
mshana jr said:
Ngoja nikae vema niongeze maarifa zaidi, nimejiapiza kutounyima ubongo wangu maarifa
Atheism ni kitu kinachochanganya wengi huku wengine wakiihusisha na satanism na leciferianism

Mkuu,

Atheism si falsafa,imani au mfumo wa maisha unaofatwa na kikundi fulani cha watu

Atheism kwa tafsiri rahisi,ni kutoamini uwepo wa Miungu,mashetani au nguvu yoyote ambayo si ya asili
[Supernatural power]

Watu wenye fikra finyu juu ya Atheism,watakwambia ni upagani

Lakini mpagani ni mtu mweye dini,tena dini nyingi,na isitoshe anaamini uwepo wa Miungu pamoja na mashetani

Na mpaka ibada anafanya.

Waugwana watakuona mwezi-mchanga kama ukimuita mtu asiyeamini uwepo wa Miungu wala mashetani kama Kiranga,kuwa ni Mpagani.

Mpagani kwa lipi?

Mpaka sasa hao wanaosema Mungu yupo hawawezi kuthibitisha kile wanachokisema

Wanaamini tu kuwa yupo

Kwasababu kwao ni kama Dubwasha linalowafariji na kuwapa tumaini feki katika matatizo

Pia Mungu ni jibu kwa wasio na majibu.
 
Use your head to discern what is written. If you want yes or no type of answers, i am not that type.
Acha kupuyanga puyanga mkuu... Nimehitaji jibu unaleta siasa.. Kama hauwezi kujibu comments inavyotakiwa unaweza ukawa msomaji tu..[emoji57]
 
nawaonea huruma watu wote wasioamini MUNGU siku ya mwisho sijui mtajibu nini?
Heri wewe,mwenye chembe chembe ya upendo katika moyo wako kiasi cha kuonea huruma ndugu zako

Kuliko Mungu anayenadiwa na makada wake kuwa ni mwenye upendo wa hali ya juu kwa viumbe wake lakini bado akaumba ulimwengu unaotanuka na kuchakaa

Akaumba dunia yenye magojwa,matetemeko ya ardhi yasiyo na sababu yoyote ya maana

Tsunami,mafuriko,uonevu,mauaji na kila aina ya ufedhuli

Walemavu wa ngozi,na watoto wenye mtindio wa ubongo

Mungu mwenye upendo usio na kipimo kwa viumbe wake,asingeumba dunia ya aina hii.

Hivi kama ungelikuwa na Upendo wote,ujuzi wote na nguvu zote

Ungeliumba dunia ya aina hiyo kweli?

Kama wewe ni baba mwenye upendo kwa mwanao

Na unauwezo wa kumuweka mahala salama

Unaweza kweli kumuweka mwanao kwenye pango la simba ili aishi?
 
1540ecfa917d481118e9cc546a9b109d.jpg

This isn't accepted definition of Atheism

And it does not even qualify as definition

It is simply simplified description of Big bang theory from mad-man's point of view

Au profesa wa Fizikia mweye hasira baada kumfumania mkewe
mshana jr said:
a very very complicated and confusing doctrine?
 
I for one, embrace reason over faith.

I am an atheist because the god idea lacks reason and logic, and so far as it has been presented to me, it is contradictory and non sustaining.
 
I for one, embrace reason over faith.

I am an atheist because the god idea lacks reason and logic, and so far as it has been presented to me, it is contradictory and non sustaining.
Scientific logic upon which you rely so much remains valid only until proven otherwise something that has happened many times. And lack of proof concerning presence of God further proves his ability beyond human comprehension.
 
How does lack of proof concerning the presence of good prove that god is beyond human comprehension?

Aren't you putting the cart before the horse?
 
Tafsiri ya neno Mungu kwa Einstein ilikuwa ni tofauti sana na yako

Einstein hakuamini uwepo wa Mungu mwenye sifa za kibinadamu
[Personal God]

Mungu mwenye wivu na upendo.
Tofautisha namna Mungu alivyoelezwa ili binadamu amuelewe na Mungu alivyo....
 
I for one, embrace reason over faith.

I am an atheist because the god idea lacks reason and logic, and so far as it has been presented to me, it is contradictory and non sustaining.
Ni logic na reason gani inayokukubalia kuwepo vitu hivi hivi tu?
 
Wapi nimesema vitu vipo hivi hivi tu?

"Vitu vipo hivi hivi tu" maana yake nini?
Sisi tunaosema kuna Mungu tunamaanisha kwamba kuna mwanzilishi wa kila kitu,wewe unaesema hakuna Mungu unkuwa moja kwa moja unakana kuwepo kwa mwanzilishi.....

Kama unakubali kuna mwanzilishi wa vyote kunakuwa hakuna kesi hapa kwasababu utakuwa unakubaliana na sisi kuwa yupo mwanzilishi na inawezekana tukawa tunatofautiana namna ya kumuelezea tu

Kama hukatai kuwepo mwanzilishi sema hapa hapa....
 
Kwa nini ni lazima iwe "muanzilishi"?
 
Kwa nini ni lazima iwe "muanzilishi"?
Kwa swali lako hili ndipo unaona maana ya swali langu la kwanza nililokuuliza....

Jibu la sali hili lipo hapo kwenye swali langu la kwanza.....
 
Kwa swali lako hili ndipo unaona maana ya swali langu la kwanza nililokuuliza....

Jibu la sali hili lipo hapo kwenye swali langu la kwanza.....
Kwa nini ni lazima iwe "muanzilishi" na si kingine chochote?

Sijaona jibu hilo. Naomba nionyeshe.

Ninapoandika "muanzilishi" namaanisha "muanzilishi".

Natumaini Kiswahili unaelewa.
 
Kwa nini ni lazima iwe "muanzilishi" na si kingine chochote?

Sijaona jibu hilo. Naomba nionyeshe.

Ninapoandika "muanzilishi" namaanisha "muanzilishi".

Natumaini Kiswahili unaelewa.
Naamini hata wewe unaelewa Kiswahili....

Niliandika hivi..
Ni logic na reason gani inayokukubalia kuwepo vitu hivi hivi tu?
Hapo ndio kuna sababu ya kuwepo muanzilishi....

Naamini sasa utanielewa...
 
Back
Top Bottom