Kwa ma-atheist

As if watu wapo kwenye mission ya kutafuta malengo yao ya kuwepo duniani
 
Sayansi ni elimu ya kutambua asili yetu na uhalisia.Sijakataa.Asili ya sayansi ni nini au nani au wapi kwa sababu hao wanasayansi hiyo sayansi wameikuta;yaani ni kwamba wanafanyia tafiti kitu ambacho kipo.

Basi wakishaona hawajui mwanzo kitu kilipoanzia ndo wanaanza singizia uwepo wake... Science hatujigambi tuna majibu yote ni vitu vingi tu bado hatujavijua ila siku adi siku tko tayari kujifunza mapya ila wenzetu mawazo yenu yatakapogomea ndo mnaanza kutoa sifa zisizokuepo unakufuru,kuna moto, ni dhambi aaah hapana sio kweli
 
I like these kind of arguments[emoji57] [emoji57]
Umesomeka kiongozi
 

Pamoja sana
 

Unamjua Anaxemendes?
 
Hakuna uthibitisho wa kutosha kuwa Mungu hayupo ila pia hakuna uthibitisho clearly kuwa Yupo. Assumption ni nyingi kuanzia mwanzo wa dunia mpaka uwepo wa viumbe kote hakujawa stable kueleza history hizo.God anatokea baada ya majibu kutopatikana haswa majibu clearly
..Science ina jitahdi kueleza asili ya binadamu na kiukweli ina mantiki Dini nazo zinafafanua kadri ziwezavyo kitu ambacho naona dini itashindwa ni kuweka kwao limits za ku update maandiko yao, huwezi note jambo leo useme hata miaka mia mbele halitabadilika huku ni kuweka ukomo wa akili ambayo ni infinity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…