Kwa ma-atheist

Kwa nini unaamini kitabu kinachojipinga chenyewe kama kitabu kitakatifu?
 
Hujajibu nilichokuuliza....

Unamjuaje Mungu kiasi kwamba hawezi kuwa "vianzilishi"?
Mungu ni nini?

How can a primary mover be in the plural?

Hujajibu critique yangu ya dhana nzima ya uanzilishi.
 
Mungu ni nini?

How can a primary mover be in the plural?

Hujajibu critique yangu ya dhana nzima ya uanzilishi.
Mkuu unajisumbua tu hapo hizo jamaa hazitaelewa hata kwa million light years.. Hapo dawa ni kuwaacha na ujinga wao[emoji57]
 
If a perfect god existed, nothing but nothing would exist.
Something exists.
A perfect god does not exist.
Ooh,

The central tenets of your argument are based on this question
Kiranga said:
What is the most perfect state of perfection?

Are you believing that,nothing is the most perfect state of perfection?
 
Mungu ni nini?
Wewe ndio ulikuwa wa kwanza kuleta hii term hapa hivyo wewe ndio unapaswa ujibu hili swali lako
How can a primary mover be in the plural?
Inaonekana wewe unaijua vizuri sana hii "primary mover' kiasi kwamba unajua haiwezi kuwa katika wingi,kwanini usituhabarishe vile ambavyo haiwezekani?
Hujajibu critique yangu ya dhana nzima ya uanzilishi.
Hii nilishaijibu na unajua kabisa kuwa nilishaijibu na ukaleta swali lingine ambalo nalo umeona limekuwa mzigo kwako wewe mwenyewe....

Kama umesahahu hilo ni tatizo lako na unaweza kurudi huko juu ukajionea namna nilivyojibu....
 
Ooh,

The central tenets of your argument are based on this question


Are you believing that,nothing is the most perfect state of perfection?
Indeed. Anything deviating from perfect nothingness -even in the strictly non physical informational sense - would only increase entropy and hence decrease perfection.

That's why the universe exists in imperfection, to be perfect, it would need to not exist.

Check out Jim Holt's "Why Does The World Exist? : An Existential Detective Story". It is as accessible as it is insightful.
 
Kwahiyo ninyi ma atheist huwa mnalala hata hamuombi na mnaamka kama nyoka pangoni
 
Kwahiyo ninyi ma atheist huwa mnalala hata hamuombi na mnaamka kama nyoka pangoni
To the contrary, wanyama wanaomba. Kuna researchers wame document religiosity in animals.

Kwa hiyo hapa cha kusema labda ni kwamba wanaoomba mungu ndio wako karibu zaidi na wanyama hawa kuliko walio dismiss na ju transcend the god idea.
 
To the contrary, wanyama wanaomba. Kuna researchers wame document religiosity in animals.

Kwa hiyo hapa cha kusema labda ni kwamba wanaoomba mungu ndio wako karibu zaidi na wanyama hawa kuliko walio dismiss na ju transcend the god idea.
nafkir mr kiranga una kitu kizur cha kuweza kushea na ss ili tuweze kujua maana yawezekana dunia tunayoijua ss iko tofaut na unayoijua ww na wengne... plz naomba uwekewaz kile unachokijua na kukiamin na ss tupate kufaham.
cc juve2012
 
nafkir mr kiranga una kitu kizur cha kuweza kushea na ss ili tuweze kujua maana yawezekana dunia tunayoijua ss iko tofaut na unayoijua ww na wengne... plz naomba uwekewaz kile unachokijua na kukiamin na ss tupate kufaham.
cc juve2012
Sijui kama nina kitu kipya, ingawa hata hicho kinaweza kuwa kipya kwa baadhi.

Kitu cha kwanza cha msingi kabisa ninachosisitiza mara nyingi hapa ni kwamba, imani yoyote inaruhusiwa na haijadiliki. Ukikubali mungu wako ni mti, sawa.

Ila utakaposema mti huo ni mungu wa kweli ulioumba ulimwengu wote, ni lazina tuhoji.

Na njia moja ya kuhoji ili kutenganisha ukweli na uongo ni kutafuta contradiction. Kitu kinachojipinga chenyewe hakiwezi kuwa cha kweli.

Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye maoenzi yote akiumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana atakuwa kajipinga mwenyewe, cintradiction.

Ulimwengu tuuonao una mabaya.

Hivyo ulimwengu huu hauwwzi kuwa umeumbwa na mungu mwenye kujua yote, kuweza yote na mwenye mapenzi yote. That will be a cintradiction.

Huyu mungu yupo kweli?

Kama yupo, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na kila uwezo, ujuzi na upendo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
CONFUCIUS, MENCIOUS, ZHUANGZI NA WENGINE WENGI, MA-ATHEIST WA KUFA MTU! BIG UP HII KITU!
 
There are more Million reasons to prove God's existance and many more to show science failure to explain basics pf life.
If there are that many reasons and you can't even mention one, you give us reason to pause.

If science fails to explain basic life as you mentioned, that doesn't prove god exists.

Science can fail in a world that god does not exist.

Your argument is a logical non sequitur, if science fails to explain basic life, it does not follow automatically then that life must be created by god.
 
Mtajidanganya sana ..Hakuna binadamu aliweza kutengeneza kitu(Manufacture) zaidi ya kuunganisha vitu (Assembling) alivyopewa na Mungu alafu anakuja na neno Sayansi.
MUNGU alipoumba hii Dunia alisema imekamilika sababu aliweka kila kitu chini ya ardhi hata hiyo simu yako jarib kufikir Raw materials zinatoka wapi..?
Binadam tofauti na viumbe wengine alipewa uwezo wa kutawala na kutumia mazingira yanayomzunguka kwa manufaa yake..KAMA kuna sayansi inaweza kutengeneza kitu chochote Duniani BILA KUTUMIA Natural resources then mtu atoe orodha ya vitu hiyo.
TUWE MAKINI NA HAWA WAABUDU SHETANI KUJARIB KUPOTOSHA UWEZA WA MUNGU..Jiulize kwa nini hakuna kundi la watu wanaopinga uwepo wa SHETANI..?
Kama hawajatumwa kuja kupoteza kizazi hiki kwa imani zao..?
 
Amen.
Shetani ameona njia pekee ya kumpinga Mungu muumbaji ni kuleta dhana ya kutokuwepo kwa Mungu (atheism) na amejikita zaidi katika kuharibu na kupinga uumbaji wa Mungu. Kwa kuleta dhana nyingi kama evolution of man, ila hao wanaojiita wanasayansi wanaopinga uwepo wa Mungu wanaweka neno supernatural powers ila hawajijoji supernatural powers inatoka kwa nani na mechanism yake inakwendaje kisayansi?

Mungu anajidhihirisha kwa wanadamu kupitia njia mbalimbali, na ndio maana Biblia inamtambulisha kama muumbaji wa mbingu na dunia. Shetani naye hayuko nyuma kupinga jinsi Mungu anavyojidhihirisha ukuu wake kwa wanadamu, kwa kupitia mambo mbalimbali kama atheism, Freemasons, secret societies etc....

Angalizo: Kwa wote wanaaoamini uwepo wa Mungu, mtu asiwadanganye eti Mungu hayupo, Kamwe usijaribu kumdhihaki Mungu kwa kumtusi eti hayupo wakati alikuumba na unavuta pumzi yake ya uhai bure bila tozo yoyote ile. Zingatia maadili yaliyoainishwa kwenye maandiko matakatifu ( Qur'an and Bible ) huu ndio msingi wa imani dhabiti kwa Mungu muumbaji wako. Ukaacha na kuyapuuza Maandiko matakatifu hofu ya Mungu inatoka moyoni mwako na ndio mwanzo wa kutumiwa na shetani na kutumikishwa nae kupitia dhana ya atheism, Freemasons etc.
 
Hata Atheism ni imani tu,ambayo inapaswa kuhojiwa pia.

Kama misingi wa fikra yako haijajengwa kwenye ukweli thabiti,Ni imani

Kuna njia mbili za kuthibitisha kutokuwepo kwa kitu

1.Onyesha contradiction

2.Pia thibitisha directly kuwa hakipo baada ya kutafuta sehemu zote ambazo hiko kitu kinasemekana kipo na kutokipata.

Njia moja haitoshi

Sasa nasema Atheism ni imani kwasababu kamwe haiwezi kutumia hiyo njia ya pili kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu

Kama unaweza kuquestion hii statement twende pamoja mguu kwa mguu.
 
Kiranga said:
If science fails to explain basic life as you mentioned, that doesn't prove god exists

The free thinker is the one who is looking at all possibilities

If scientific theories for existence of the Universe are backing the wrong horse

We must look at other possibility,for instance Intelligent design theories

Science can fail in a world that god does not exist.
You have it backward

Science often fail in a world which is so diverse

By diverse world,I mean a world that is quite at odds with our intuitive conception of the world

Forexample,science fails at quantum level in Quantum world

And at very largest scales of the universe such as black holes,singularity and pulsars

Your argument is a logical non sequitur, if science fails to explain basic life, it does not follow automatically then that life must be created by god.
If life didn't happen by chance,then it must have a designer

Life didn't happen by chance,then it was designed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…