kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa.
kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa.

utalia upunguziwe watokomea 3m


hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi.

sasa we fanya ivi uyo bint uliye nae mpe mimba
automatically akifika miezi 8 ataenda kujifungulia kwao

akishajifungua anza process za ndoa. nenda kwao mahari watasema kubwa na fain juu wataweka lakini we waambie una kiasi fulani.

automatically watakubalii tu kwa sababu hawana option nyingine.

GONGA GONGA KICHWA SEMA AKILI AKILI MTU WANGU
 
Fanya hivyo kwa Mchaga uone[emoji23][emoji23],Wale.wazee ni noma aisee
 
Back
Top Bottom