Natumai mko salama,
Leo nawiwa kuwaandikia haya enyi mabinti wenye nia ya kuutunza usichana wenu hata kama uko chuo au unatarajia kuingia huko.
Fanya yafuatayo kama hutaki uasherati chuoni.
1. Hakikisha una marafiki wa kike na wakiume kwa vyovyote lazima wawe na tabia kama zako au ziendane angalau kidogo, hawa wakiume watakustiri, wale nzi watakuwa wanajua ni wapenzi.
2. Uwe msiri, narudia tena uwe msiri kwa vitu vyako vya faida, kama wewe ni bikra katu usimwambie mtu hata kama unamwamini kiasi gani.
3 . Wakati marafiki zako wanapiga stori za ngono usiijitenge, changia mada kama vile wewe ndiyo mzoefu kuliko wao.
4. Kama una boom, hakikisha unaweka akiba yakukutosha mpaka boom lijalo, ukiishiwa bahati mbaya tafadhali omba nyumbani au kwa ndugu. Usiombe kwa rafiki yako, awe wa kike au wa kiume.
5. Jiheshimu katika mavazi na usali sana.