Ana miaka 25, na amezaa mara moja. Hakuwa hivyo, tatzo limeanza huu ni mwez wa tatu. Yaan akinywa dawa yeyote anaingia bleed, mfano mwez huuhuu aliingia tarehe12, jana kaingia tena baada ya juz kumeza mseto.Ana umri gani?
Inawezekana ni homones hazijabalance , nendeni kwa daktariAna miaka 25, na amezaa mara moja. Hakuwa hivyo, tatzo limeanza huu ni mwez wa tatu. Yaan akinywa dawa yeyote anaingia bleed, mfano mwez huuhuu aliingia tarehe12, jana kaingia tena baada ya juz kumeza mseto.
Sent using Jamii Forums mobile app