Kwa madaktari wa magonjwa ya wanawake.

Kwa madaktari wa magonjwa ya wanawake.

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
541
Nina mke wangu anatatizo naombeni ushauri, mke huyu huwa anamzunguko wa siku 28 (hedhi). Kuna kipindi aliugua kama maupere mwilini, mfano wa surua, akanywa dawa za kienyeji, baada ya kunywa dawa hzo alibleed kwa wiki mbili mfulilizo.

Na baada ya hapo shida inakuja kwamba, bleed ikiisha, ikitokea ameugua hata malaria, ama kichwa tu kumuuma, akimeza dawa yeyte iwe panadol ama mseto anableed kabla ya mzunguko wake kutimia.

Kitaalamu hapa shida inaweza kuwa n nn? Je, ni kip kinaweza kutatua hii changamoto,? Naombeni ushauli tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana miaka 25, na amezaa mara moja. Hakuwa hivyo, tatzo limeanza huu ni mwez wa tatu. Yaan akinywa dawa yeyote anaingia bleed, mfano mwez huuhuu aliingia tarehe12, jana kaingia tena baada ya juz kumeza mseto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana ni homones hazijabalance , nendeni kwa daktari
 
Back
Top Bottom