GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 541
Nina mke wangu anatatizo naombeni ushauri, mke huyu huwa anamzunguko wa siku 28 (hedhi). Kuna kipindi aliugua kama maupere mwilini, mfano wa surua, akanywa dawa za kienyeji, baada ya kunywa dawa hzo alibleed kwa wiki mbili mfulilizo.
Na baada ya hapo shida inakuja kwamba, bleed ikiisha, ikitokea ameugua hata malaria, ama kichwa tu kumuuma, akimeza dawa yeyte iwe panadol ama mseto anableed kabla ya mzunguko wake kutimia.
Kitaalamu hapa shida inaweza kuwa n nn? Je, ni kip kinaweza kutatua hii changamoto,? Naombeni ushauli tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app