Kwa mademu wachunaji, mkinichukia poa tu!

Kwahiyo Kajambanani haruhusiwi kumiliki toto la mboga saba?
 
you want the pussy then pay for it. she got needs and you got sexual desires I think its a win win

Nah..I got skills to get top notch vaginas for free.

Why pay a king's ransom for a high mileage one?

Not when I got all my faculties intact!
 
Huu uzi unawahusu wanaume wa huko unapo pamaanisha, unawahusu wanaume wa huko kwenye mlimani city ilipo saliwa..[emoji23]
Huu uzi unawahusu wala chips aiseeee... [emoji13]
Hapa wanahusika wanaume wanao panda bajaji + fery, then wana malizia na vitz wanazokua wamepaki kuleeee ng'ambo..[emoji1]
Wala pweza mna maneno...[emoji12]
 
Oh yeah...ni wazi aliupima upepo akaona zipo.

Uzuri bado sijawa m.pumbavu kiasi cha kuweza kufanya hivyo.
Usingemuacha solemba, ungemfungulia hata genge la kuuza nyanya, labda
 
ZAMANI MWANAUME ALIKUWA ANATAFTA MALI PAMOJA NA MKEWE NDO MAANA WALIISHA KWA SHIDA NA RAHA LAKINI SASA MWANAMKE ANATAKA AKUKUTE NA MALI MWISHOWE AKIPGWA CHINI ANARUDI NA BEGI LAKE TU LA NGUO
 
Haya, pumzika mapema ili kesho uwahi kuvuna korosho
 
ZAMANI MWANAUME ALIKUWA ANATAFTA MALI PAMOJA NA MKEWE NDO MAANA WALIISHA KWA SHIDA NA RAHA LAKINI SASA MWANAMKE ANATAKA AKUKUTE NA MALI MWISHOWE AKIPGWA CHINI ANARUDI NA BEGI LAKE TU LA NGUO
Anhaaa, ndoomanaaa
 
Mademu wa virungu wapo kwa maslahi ya mfuko tu. Siku mfuko ukitoboka nduki vumbi hulioni na wana kublock kabisaaa.
 
Nah..I got skills to get top notch vaginas for free.

Why pay a king's ransom for a high mileage one?

Not when I got all my faculties intact!
trust me bro these chix dont care if you got a big one or not, they just want bling blings and good life just to show off to their friends. its a show off world we're living in.
 
MWANAMKE AKIMKUTA MWANAUME ANA MALI TAYARI KUFUKUZWA KAMA MBWA KUPO NJE NJE NA BEGI ANALIKUTA GETINI
 
NASIYE WANAUME HUWA HATUWAACHI WANAWAKE TULIOPITIA NAO KIPINDI KIGUMU CHA MAISHA
 
Mademu wa virungu wapo kwa maslahi ya mfuko tu. Siku mfuko ukitoboka nduki vumbi hulioni na wana kublock kabisaaa.
What is goes around comes around... Ni vigumu kumgundua pindi anapoamua kukuektia wakati mnaponda raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…