Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Unaruhusiwa ukiweza, ila kama hutakiwi kausha. Usilalame kimama...Kwahiyo Kajambanani haruhusiwi kumiliki toto la mboga saba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaruhusiwa ukiweza, ila kama hutakiwi kausha. Usilalame kimama...Kwahiyo Kajambanani haruhusiwi kumiliki toto la mboga saba?
Hukumpenda tu ungempenda hata hiyo laki 7 ungeiona ndogo.Oh yeah...ni wazi aliupima upepo akaona zipo.
Uzuri bado sijawa m.pumbavu kiasi cha kuweza kufanya hivyo.
Hukumpenda tu ungempenda hata hiyo laki 7 ungeiona ndogo.
Floyd mayweather alimpa mpenz wake Badmedina wala hajamuoa Rolls Royce na wale aliozaa nao kila Birthday wanapewa Gari watoto nao Gari Pesa nyokooivi kuna mwanaume na akili zake anamnunulia mwanamke vitz , MTU ambaye hata sio make wake?
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] you made my day..live longer!Sasaivi nimeanza ku invest kwa mama yangu mzazi yani naona kabosa inalipa nkimpelekea vitu huwa ananipa baraka hapo hapo na ninaona baraka zake zikijibu. Sio hii mijitu unalipa pesa lenyewe lina betua kufuli tu na kukuzidishia liability. Tena skuizi kuna kamchezo kachafu ka birthday skuizi kama keki moja haitoshi wanataka mbili moja yakupakazana na ingine yenye strawbery ndio yakukata stupid[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji13]kama anatoa tope hana budi kutimiziwa. pesa kwa tope, maana hamna namna tena.
Mpenzi,hivi huwezi hata kuninunulia VITZ,kwakweli nimechoka Daladala''.....Umechoka daladala wakati
mamako bado anapanda,tena za Tandika...acheni