Kwa mademu wachunaji, mkinichukia poa tu!

Kwa mademu wachunaji, mkinichukia poa tu!

Mi sioni mbaya je mimi nimewahurumia sanaa binadamu nyie wanaume matokeo wameoa wengine je ningewachuna ningepata chakukumbukia sasa napanda daladala waleo nivizuri hata wakiuza hizo nanilii zenu ni sawa tu. Nawaunga mkono kabisaa wanawachuna wakaka wababa safii sanaa endeleeni na moyo huo huo hamjazaliwa nao yanini huruma hawana shukuranii hao kabisaa hawana nimafisi tu waliovalia ngozii ya kondooo ukiwahurumia utajuta bora uwapakue vyote ikiwezekana hadi boxer kwelii eti kanunue shamba kwanii we ni chizii hujitambui? Mpaka ukumbushwe cha kufanya hujui unataka nini maishani mwako mpaka uambiwe mwanaume ukimuhurumia anakuona fala lakini ukimpa majukumu ndio heshima ipo.
 
  • Thanks
Reactions: irk
ivi kuna mwanaume na akili zake anamnunulia mwanamke vitz , MTU ambaye hata sio make wake?
 
ivi kuna mwanaume na akili zake anamnunulia mwanamke vitz , MTU ambaye hata sio make wake?
Floyd mayweather alimpa mpenz wake Badmedina wala hajamuoa Rolls Royce na wale aliozaa nao kila Birthday wanapewa Gari watoto nao Gari Pesa nyokoo
1471468113311.jpg
 
Achana na madem jibaba.Wewe piga bia na nyama choma yako kisha unaenda kulala.
 
Mimi hizi mambo nilikua nasoma humu JF tu nacheka zangu lakini juzi tu hapa kuna kabinti nimekutana nako ofisini kama mara mbili hivi, Basi nikaomba namba katika kuchat siku ya pili kakaniambia hakapo OK nikauliza kwanini? Akaniambia ni personal nikasema poa. Siku inayofuata akaniambia tena sipo OK eeeh vipi akauliza nikikwambia utanisaidia? Nikasema nikiweza ntakusaidia hata ushauri, Khaaa nikaambiwa nimechoka kukaa home nahitaji kupanga unaweza nitafutia room nikaona ohooo yale yale, Basi nikamwambia nalala kesho job nitakujibu mpaka leo nawaza kweli hata wiki bado anataka room wakati mi mwenyew na kazi yangu ila bado nakaa home, Hapana aisee.
 
Sasaivi nimeanza ku invest kwa mama yangu mzazi yani naona kabosa inalipa nkimpelekea vitu huwa ananipa baraka hapo hapo na ninaona baraka zake zikijibu. Sio hii mijitu unalipa pesa lenyewe lina betua kufuli tu na kukuzidishia liability. Tena skuizi kuna kamchezo kachafu ka birthday skuizi kama keki moja haitoshi wanataka mbili moja yakupakazana na ingine yenye strawbery ndio yakukata stupid[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] you made my day..live longer!
 
Kwa tabia zao hizo kuolewa majaliwa,Mwanamke ana mizinga mpaka unaogopa kumpigia simu,maana ukimpigia tu basi mzinga,na hapo anakuambia "Baby si ulisema mwezi huu utaenda kujitambulisha Nyumbani",nani?,na kiukwel miaka ya sasa ni wengi wanapenda kuolewa ila ndiyo hivyo vijana wengi wamefunga dirisha la usajili wa kudumu labda wa muda,kutokana na tabia Kama hii ya mizinga,ingawa sababu zipo nyingi ila hii nayo ni miongoni mwa sababu kubwa
 
Alafu mnaotoaga mada hiz ndo walaiiiini mnatafuta confidence tu muonekane vidume kumbe mnachunwa hadi mnaweka rehan atm. Shame on you.
 
Mpenzi,hivi huwezi hata kuninunulia VITZ,kwakweli nimechoka Daladala''.....Umechoka daladala wakati
mamako bado anapanda,tena za Tandika...acheni

hahahahahahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom