Kwa mademu wachunaji, mkinichukia poa tu!

Usingemuacha solemba, ungemfungulia hata genge la kuuza nyanya, labda

Kwani mi baba'ake?

Afanye kazi kama wanavyofanya kazi watu wengine.

Lakini kwa upande mwingine labda hiyo ndo ilikuwa kazi yake, huwezi jua.
 
Kwani mi baba'ake?

Afanye kazi kama wanavyofanya kazi watu wengine.

Lakini kwa upande mwingine labda hiyo ndo ilikuwa kazi yake, huwezi jua.
Inabidi uwazoee tu, labda ameshakula vumbi la kutosha mpaka likamfanya awe mwehu God forbid
 
Kuna kamoja hako baada ya siku mbili tu kakaniomba eti nikapangishie nyumba ya laki 7 kwa mwezi!

Niliishia kucheka tu kwa kweli.

Because, what else can you do?
Mkuu umenikumbusha mbali sana...kuna waakati niliopoa kadenti baada ya miezi 2 ananiambia eti nimlipie ada ya chuo 370k, kwajinsi nilivyokuwa wakati huo nilimwona Hitler ni inosenti kompeyadi tu ha.
 
Inabidi uwazoee tu, labda ameshakula vumbi la kutosha mpaka likamfanya awe mwehu God forbid

Nadhani wengi au baadhi yao wanakuwa wanalazimisha kuishi kiwango fulani cha maisha ili wawarushe roho mashoga zao kwenye mitandao ya kijamii.

I work so hard for what I have to just give it away foolishly like that to someone I barely even know!

It will never happen.
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana...kuna waakati niliopoa kadenti baada ya miezi 2 ananiambia eti nimlipie ada ya chuo 370k, kwajinsi nilivyokuwa wakati huo nilimwona Hitler ni inosenti kompeyadi tu ha.

😀😀

Kuna mmoja aliniambia eti niwe nampa hela ya matumizi kwa mwezi kwa sababu ex wake alikuwa akimtunza kwa kumpa laki kadhaa kila mwezi.

Akanionyesha hadi screenshots za mawasiliano yao wakati wakati jamaa kamtumia pesa.

Sasa sijui kama zilikuwa ni screenshots za ukweli au za kutengenezwa.

Lakini kwa muonekano tu huyu mchuchu inaelekea alikuwa ana shida na hela.

Manake hata wigi lake alokuwa anavaa ni la bei rahisi.
 
Sure kabisaaa wanataka kuwa sawa na watoto wa matajir ambao ni rafiki zao
 
Acha ubwege kwaiyo tandika ndo kuna daladala sana za kdhaifu au .Eti mama yake anapanda dala dala tena za tandka we vp
 
"neno la ukweli sio zuri na neno zuri halina ukweli"
mkuu STUNTER umemaliza kila kitu ujumbe utawafikia
 
Laki kila mwezi??? lol inaonekana unanyota ya ubaba wa kambo...kwa demu mwenye akili kukwambia hivyo siyo bure.
 
Laki kila mwezi??? lol inaonekana unanyota ya ubaba wa kambo...kwa demu mwenye akili kukwambia hivyo siyo bure.

Uzuri niko mjanja sana na nina akili nyingi hadi huwa najiogopa!

Hakuna mwanamke dunia hii anayeweza kunizidi ujanja wala akili.

Hakuna.
 
Sasaivi nimeanza ku invest kwa mama yangu mzazi yani naona kabosa inalipa nkimpelekea vitu huwa ananipa baraka hapo hapo na ninaona baraka zake zikijibu. Sio hii mijitu unalipa pesa lenyewe lina betua kufuli tu na kukuzidishia liability. Tena skuizi kuna kamchezo kachafu ka birthday skuizi kama keki moja haitoshi wanataka mbili moja yakupakazana na ingine yenye strawbery ndio yakukata stupid[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Reactions: irk
Huwezi kukosea kuwekeza kwa mama au mwanao.

Hongera.

[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Huwezi kukosea kuwekeza kwa mama au mwanao.

Hongera.

[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Asante sana mkuu ningeshauri kwa ambao hawajaanza wafanye hilo inalipa sana wazazi wakifurahia walau kidogo ukipatacho kila mwezi
 
Lile swala la assets na liability aliloongea dr Slaa lina ukweli sana... Kabla ya kufanya maamuzi inabidi ufikiri huyu mtu ni asset au liability kwangu!!!!
 
Ndugu yangu,ukikutana ma upele wa aina hiyo,run for your life
 
Kweli kabisa mkuu, laiti kama Wanaume wote tungefuata msaimamo kama huo, basi mwaka mmoja tu mtu umeshajenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…