Kwa mademu wachunaji, mkinichukia poa tu!

Serikali iweke bei elekezi ya hongo,kwa kuangalia uwezo na kima cha mshahara.Na wafanyr maarifa hongo iwe inakatwa kodi ili kuongeza mapato ya nchi.
 
And I got it so I wasn't trickin'.

But heck, I ain't finna spend that kinda money on you like that.
Laki saba na mwenye nyumba anataka kodi ya niezi 10 so inakuwa 7mil.hyo [emoji74] yake ya dhababu ama?.kwa pesa hyo naweza lima ekari 10 za tikiti maji na chenchi ikabaki ya kununua pikipiki
 
Aisee mi nilikuwa na kidemu flan amazing enzi hizo full mizinga hadi kero...mara dia nimepoteza laki 3 ya mama akijua atanifukuza home nitumie nimrudishie...mara kuna kitchen party sare laki na nusu...

hahahahahahaha hadi sare ya weaving
 
Serikali iweke bei elekezi ya hongo,kwa kuangalia uwezo na kima cha mshahara.Na wafanyr maarifa hongo iwe inakatwa kodi ili kuongeza mapato ya nchi.
kweli kabisa
 
Serikali iweke bei elekezi ya hongo,kwa kuangalia uwezo na kima cha mshahara.Na wafanyr maarifa hongo iwe inakatwa kodi ili kuongeza mapato ya nchi.
Alafu unaakili sana
 
Yaani hii ndo hali halisi ya hawa kinadada.wiki mbili tu zilizopita niliweka uzi hapa wenye kichwa.

Ni kupiga chini tu hakuna namna.

kutokana na kuchunwa kuliko pitiliza niliambiwa ili nipewe nimpangie nikasema sawa yalifuata sasa balaa na mbaya zaidi hela ya matumizi kila siku kama nimeoa vile yaani nusu ya mshahara anatumia yeye na bado halidhiki.demu mwenyewe katumika hadi basi na baadae kuishia kuzalishwa halafu zigo nije kubebeshwa mie kinda below 30yrs.nikaamua kupiga chini haraka sana maana niliona natumika tu.
 
mademu wa aina hiyo bora niishie kuwaona tu mm nipo na mwajuma wangu uwa ananipa vizuri na nikitoboka sana ni dala
 
Mademu Wa kibongo a.k.a DECI ukipenda Waite saccos ndogo...
 
Message delivered...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuh, pole sana asee,
na angekufilisi kama usingemshtukia mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…