Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

Kuna dereva wa malori makubwa wale masafa aliwahi nihadithia sijui kama Chai au laa eti kwao ni vitu vya kawaida sana akanambia wana namna zao wakikutana na ishu kama hii,ila wao sio kama maimatha anaowazungumzia wa huyo jamaa wangu ni original wa ulozi ulozi..
 
Ukiendesha Gari ukaona umechoka ni vizuri kukubali uegeshe Gari then upumzike kiasi cha kutoa Uchovu..,
Lasivyo utakuwa na Mawenge na kuanza kuona Vioja na maluweluwe ya Majini sijui Vibwengo Mara Majeneza kumbe umelala fofo unaota tu!!!

Uswahilini tuna yetu mengi, no wonder rais wetu mpendwa nyungu haikumsaidia.

Mtu amechoka lakini bado anashupaza shingo, kisha aje aseme majeneza na wanawake warembo walio uchi katikati ya barabara aliwaona?!

Haya hadi lini? Mbona wakiwa hawajachoka na miendo midogo midogo hawayaoni?

Hiiiiii bagosha!
 
Kuna dereva wa malori makubwa wale masafa aliwahi nihadithia sijui kama Chai au laa eti kwao ni vitu vya kawaida sana akanambia wana namna zao wakikutana na ishu kama hii,ila wao sio kama maimatha anaowazungumzia wa huyo jamaa wangu ni original wa ulozi ulozi..
Ana mbinu za kumlinda ki Kushi kama Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya mkuu wa Wakushi wote
 
Back
Top Bottom