Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

Nikisema sijawahi panda basi ntakuwa muongo na mpuuzi kama wengine. Nmetumia kila usafiri uliopo tanzania.but tu sipend sifa za kijinga na kitoto.uongo usio na maana.unaona movie unakuja kusimulia humu ukidhan wote ni watoto kama wewe. Muwe mnatuheshimu hata kusema uongo kunataka uwe na akili ikiwa unatka kudanganya wenye akili.

Ulichoongea ni uongo wa wazi kabisa yaan kuna hoja zako hazijakaa sawa na nmeziweka wazi hapo. Mimi nmekwambia sababu nafaham kwenye speed kubwa barabaran tena usiku huwez pata muda wa kufanya iliyoyasema ni uongo.na pia huwez jua kwenye gari jiran wapo wangap ni uongo, huwezi wasikia watu wakiongea sababu ya upepo mkali ni uongo.

Kabla hujasema uongo tumia akili hata kidogo
hahahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mi nliamua kupita kimya kimya naona ww umeshndwa kuvumilia

Jamaa anakwambia akachomoa pisto akawaonesha majambaz[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikuwa naendesha baiskeli mida ya saa moja usiku kutoka Cheyo kwenda Isevya gafla nikakutana na demu mkali sanaaaaa mwarabu amejazia vishungi balaaa . .sikumkwepa akacheka sanaaaa akanambia nimefaulu mtihani wa kumkarawila nilitafuna balaaaaa...leo nipo N.I.T nasomea udereva niwe dereva wa malori nikatafune majini njiani

Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha haa,, angalia wasikutafune ww mzebaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka leo sielewi ile sayansi iliyotokea pale,
Nilitembea Bila kuchoka, nilipokuja kushtuka nilipita katikati ya miiba
Nafika najiangalia nimetobolewa nimejaa damu
Na maumivu ya miguu

[emoji252] [emoji479]
Katika maisha yako mkuu usije gusa hirizi, zinajaribiana uwezo. hii niliambiwa na mzee zamani sana. ukiwa free na hirizi na ushirikina unaishi maisha ya raha sana. Kama ni shida basi ni za kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika maisha yako mkuu usije gusa hirizi, zinajaribiana uwezo. hii niliambiwa na mzee zamani sana. ukiwa free na hirizi na ushirikina unaishi maisha ya raha sana. Kama ni shida basi ni za kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya vitu sina habari navyo ni hirizi sijui uganga,
Na wakati Tukio linatokea nilikua teenager sina hata clue na mambo ya giza

[emoji252] [emoji479]
 
Mpaka leo sielewi ile sayansi iliyotokea pale,
Nilitembea Bila kuchoka, nilipokuja kushtuka nilipita katikati ya miiba
Nafika najiangalia nimetobolewa nimejaa damu
Na maumivu ya miguu

[emoji252] [emoji479]
douh!! pole sna mdada,, ulikuw vyombo nn cku hyo??

mi nlikua na kidem ki1 hv recently af kumbe ni kichawi asee,,kisa chake ntaeleza cku ingine

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni highway siku nyingine usikanyage brake kama speed yako imezidi 90kph, piga honi, pangua gia weka1, shika uskani vyema pia sali moyoni wala usifumbe macho,kama hakuna kivuko kanyaga mafuta kama kawa usiachie..tofauti na mtaani haiwezekani Mtu (kama sio mtoto japo
nao hutumika) akavuka mbele wakati gari ipo kasi..
nimepewa wawazo kama hayo Shukrani, ila zaidi ya yote nsivae hirizi ya aina yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto, usingizi na imani za kishirikina.

Hakuna kitu. Why usiku na si mchana??

Why barabarani tu na si njia ya train, Angani au Majini??.

Story za abunwasi na changamsha genge.

Nishasafiri Barabara nyingi, masaa yote kuspan 24 hours sijashuhudia hayo.

Ulongo tu na kutiana woga, kuwapa ulaji waganga wa kienyeji wafanye zindiko.
The Newest Mshana Jr hater.

#utakula kiburi yako.
 
nakumbuka nilipokuwa dreva wa basi moja linaitwa Tanganyika bus kule MWANZA nilipokuwa ktk route za kwenda Mara ipo siku njiani majira ya saa 3 nikiwa ktk shughuli zangu za udereva nilionana ghafla na jamaa akiwa ana Ng'ombe wawili akikatisha katkati ya barabara tena ni babu kavaa lubega,nilichosema ni kwa jina la Yesu ,Mungu wangu nisaidie sikuwa hata na akili ya kushika breki niliachia mikono na gari ilivuka pale,shukrani kwa utingo jirani yangu baada ya kuona ile hali utingo yule alikanyaga breki huku tukiwa tumevuka lile eneo,baada ya hapo sikuweza tena kuendesha,gari liliendehswa na utingo hadi tukafika nahc ni Mungu tu alisaidia si mimi,tokea siku ile sijaedesha tena gari usiku mwisho ni saa 12 jioni
Umeendesha Tanganyika bus...we mhenga kweli kweli...bado dereva!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom