Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

Ujana tu ulikua,
Ilinipa funzo na nilikua hodari wa kuzunguka usiku.

[emoji252] [emoji479]
Yupo jamaa mmoja BODA BODA mtaani KWETU,, hadi Leo akili zake hazijatulia,,,alikuwa na MAZOEA YA KUKESHA USIKU KUCHA ANABEBA ABIRIA,,,siku MOJA SAA NANE ZA USIKU,,kambeba DADA mmoja NA MTOTO MDOGO mgongoni,,,Yule Dada amezuka tu njiani akasimaisha BODABODA,,akamwambiya amsaidie kumpeleka sehemu Fulani,,,amegombana na mumewe kwa hyo amsaidie ampeleke kwa wazazi wake,,,kama kawaida jamaa akamtajia KIASI CHA PESA,,,akambeba yule Dada na mwanae,,,kwa kawaida wakati wa safari kuna kuwa na story zinapigwa kati ya abiria na DEREVA WA BODABODA,,, ili kifupisha safari,,jamaa anakwambiya kama dk 5 walikuwa wanaongea na abiria wake huku wanaelekea anapotaka kwenda yule Dada,,baada ya Kama dk 5 zingine mbele jamaa akajiona mbona naongea muda wote hasikii MTU kumuiitikia?anafika sehemu anageuka nyuma haoni MTU kwenye BODABODA,,, basi jamaa alianguka pale pale,,,alikuja kuokotwa ASUUHI,, na BODABODA WENZIE MAPORINI huko,,,hadi Leo DISHI HALIPO SAWA,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwandende hizo ringi za shaba zinasaidia nini?
Kila DEREVA utakayemuuliza atakwambiya ni UREMBO,,,lakini kwann wavae MADEREVA TU?tena wa LONG TRIPS...ila ukipata aliyekushiba atakwambiya ni KINGA YA mauzauza,,, ile ni zaidi ya urembo,,,fuatilia mkuu,,,utanipa marejesho,,,Mara nyingi mauzauza hutokea sn sehem zenye upweke usiku wa manane,,,,Tisa,,,ni hatari mkuu,,,na ndy maana AJALI nyingi hutokea NANE ,,TISA USIKU,,, muda wao huoomm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haa haa haa akanunua viatu bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya mauza uza nitayasoma mchana, saizi hapana
 
Bado unaishi, usiseme hivyo mkuu, mimi mwenyewe nilikua siamini hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]mkuu aliwezaje kukupiga busu mara tatu na ulikuwa 120[emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakumbuka mwaka 2008,nirikuwa natokea Newala,kwenda Mtwara,kupitia njia ya Nanyamba/mahuta,
Kwenye gari tulikuwa watatu,dereva ni mwenyeji wa huko Kusini,Mtwara,kwenye gari Mimi nirikaa mbele,kama SAA sita usiku,gari ikiwa spidi,ghafla Mimi nikaona mwanamke aliyevaa mavazi meupe ameingia barabarani ghafla,nikashituka nikamwambia dereva kuwa makini utamgonga huyo mwanamke,dereva hakushituka,yule mwanamke akawa kama kayeyuka vile,gari ikapita,
Nikamuuliza dereva kulikoni,akaniambia turia kwanza nitakuambia tukifika mjini.
Mbele kidogo gari ikazima ghafla,tukashuka tukaisukuma iwake,ikashindikana,maeneo hayo tukawa tunasikia sauti ya simba,likatupita basi,tukalisimamisha kuomba msaada,wakatuambia maeneo hayo ni hatari sana,ni bora tuondoke tu,
Tuliangaika na gari yetu mpaka kunakucha,gari ilikuja kuwaka alfajiri SAA 12 na nusu,tukaendelea na safari mpaka Mtwara,.
Dereva akatuambia yule hakuwa MTU,na tungemkwepa,tungepata ajari,sitasahau hiyo siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani ka kwambia kwenye train hakuna hayo mambo, uliza madereva walio safiri kwenda kigoma au katavi wakuadithie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kamanda hilo la malingi ya shaba hata mimi nimewaona madereva wengi Wa magari makubwa wanavaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukafanya kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…