Kwa madereva, tunaomba jibu!

Kaduguda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2008
Posts
724
Reaction score
641
Haya kwa wale tu walioenda shule za udereva wa ukweli sio unafundishwa asbh huku tayari leseni ushaletewa nyumbani. Kwa picha ya hapo chini ni Gari lipi litakuwa la mwisho kupita A, B au C? Toa sababu zenye ushawishi wa kiufundi!

 
La kwanza itakuwa A kwa sababu linaendelea na highway hayo mengine yanaweza kuturn at the same time coz of different direction
 
B kwasababu hawezi kupita 'lane' isiyo yake bila ruhusa au isiwe na magari yanayopita kwa muda huo...
 
Gari A litakuwa la kwanza kupita kwakuwa lipo
upande wake sahihi.

Gari B litatoa kipaombele kwa gari B hlf nalo
litafuata kupita. Toa kipaombele kwa walioko kulia kwako.

Gari C litakuwa la mwisho kupita kwakuwa
atatoa kipaombele kwa walioko barabara kubwa
kwanza wapite.
 
Litaanza gar A coz lipo main road!...litafuata la njano then la blue

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
pia kama kwenye lane ya kushoto mwa B hakuna kitumia barabara chochote, B na C wanaeza kupita simultaneously.
 
A kwa vile ananyosha na kwa assumption kwamba barabara yake ni kuu. C kwa kawaida anatakiwa kumpa kipaumbele wa kulia kwake, chukulia pia kwamba anatoka barabara ya pembeni so atasubiri.
B anakatisha kulia kutokea barabara kuu, kwa hiyo ni lazima aangalie kama upande wa A uko clear ndo apite.
ila kama kungekuwa na taa, kila kitu kinabadilika hapo
 
A sababu yuko high way B na C ni lazima wasubiri taa ya kijani au waruhusiwe kupita
 
Gari ya kwanza kupita ni C ikifuatiwa na B kisha A atakua wamwisho kupita
 
Kisheria A ni haki yake kwenda bila kuchomekewa coz yupo highway...ila kama ameombwa na akaruhusu B kupita then C afu yeye [ A ] akawa wa mwisho
 
C linatoka barabara ndogo linaingia barabara kuu A ni gari lilopo katika barabara kuu halitakiwi kumngoja yoyote ila linatakiwa kupita kwa uangarifu mkubwa na bila yakutoa ishara yoyote kwani kwa mbele yake kuna magari mawili yayotaka kuingi nakutoka barabara kuu? B litakuwa la pili!
 
Dreva wa veta kaja.....
Itaanza A coz yupo highway
Itafata C coz kulia kwake hakuna gar na mwisho n B coz alikuwa anasubir uhakika toka kulia kwake kama hakuna gar ndo achepuke
Kwa wanaohitaji kufundishwa drvn wanPm
 
Dreva wa veta kaja.....
Itaanza A coz yupo highway
Itafata C coz kulia kwake hakuna gar na mwisho n B coz alikuwa anasubir uhakika toka kulia kwake kama hakuna gar ndo achepuke
Kwa wanaohitaji kufundishwa drvn wanPm

Unamaanisha ulichokiandika?B anasubiria kupata uhakika kama kulia kwake kuna gari!
 


gari ya kwanza kupita hapa ni A. kwa sababu gari B na C zinatakiwa zisimame na kuonesha indicators kwamba zinataka kukatiza. baada ya hapo, gari zilizobaki zinaweza kukatiza kwa muda wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…