Kwa madereva, tunaomba jibu!



Tafadhali nyoosha maelezo kwenye paragraph ya pili ni kama unajichanganya!
 


gari ya kwanza kupita hapa ni A. kwa sababu gari B na C zinatakiwa zisimame na kuonesha indicators kwamba zinataka kukatiza. baada ya hapo, gari zilizobaki zinaweza kukatiza kwa muda wake!

Mkuu hebu rejea swali linasemaje!
 
Kisheria A ni haki yake kwenda bila kuchomekewa coz yupo highway...ila kama ameombwa na akaruhusu B kupita then C afu yeye [ A ] akawa wa mwisho

This makes sense!
 
gali la mwisho ni B, kwa sababu gali la kwanza kupita ni gali A kutokana na kuwa lipo highway na gali la pili kupita ni gali C
 
mbona wakinga ndio tumewateka, yani umekaa unafikiria shelia za barabarani?utakuwa mgogo maana wagogo bhana chenga chenga " VAKINGA OMBOMBO LWALA"
 
Hii kitu siyo madereva tu hata kwa aliyesoma civil engineering atakubaliana na maelezo nitakayotiririka hapa.

Kwanza itategemea na classification za hizo barabara.
kama kwenye barabara iliyoko gari c ni minor road(low volume of vehicles road) na barabara kwenye gari A ni major road(large volume of vehicles road) gari A litakuwa la kwanza kuondoka kwa sababu liko major road (first priority to vehicle C) halafu ni straight moving vehicle (first priority to vehicle B).

Gari A likiisha ondoka gari B na gari C yanaweza kuondoka kwa wakati mmoja kwa sababu they do not conflict.
yaani there is no any point of collision for vehicle C and vehicle B.
 

nakubali
 
sasa jibu ni nini. Majibu mengi kaa nzi chooni
 
ki uhalisia jibu ni gari b ila kiufundi gari yoyote yaweza kuwa ya mwisho hapo kutokana na speed na nature ya barabara
 
Hapo gari linalotangulia ni A tu. B na C yanaweza pita kwa muda moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…