Kwa madereva, tunaomba jibu!

Kwa madereva, tunaomba jibu!

Gari A litakuwa la kwanza kupita kwakuwa lipo
upande wake sahihi.

Gari B litatoa kipaombele kwa gari B hlf nalo
litafuata kupita. Toa kipaombele kwa walioko kulia kwako.

Gari C litakuwa la mwisho kupita kwakuwa
atatoa kipaombele kwa walioko barabara kubwa
kwanza wapite.

Tafadhali nyoosha maelezo kwenye paragraph ya pili ni kama unajichanganya!
 
attachment.php

gari ya kwanza kupita hapa ni A. kwa sababu gari B na C zinatakiwa zisimame na kuonesha indicators kwamba zinataka kukatiza. baada ya hapo, gari zilizobaki zinaweza kukatiza kwa muda wake!

Mkuu hebu rejea swali linasemaje!
 
Kisheria A ni haki yake kwenda bila kuchomekewa coz yupo highway...ila kama ameombwa na akaruhusu B kupita then C afu yeye [ A ] akawa wa mwisho

This makes sense!
 
gali la mwisho ni B, kwa sababu gali la kwanza kupita ni gali A kutokana na kuwa lipo highway na gali la pili kupita ni gali C
 
mbona wakinga ndio tumewateka, yani umekaa unafikiria shelia za barabarani?utakuwa mgogo maana wagogo bhana chenga chenga " VAKINGA OMBOMBO LWALA"
 
Hii kitu siyo madereva tu hata kwa aliyesoma civil engineering atakubaliana na maelezo nitakayotiririka hapa.

Kwanza itategemea na classification za hizo barabara.
kama kwenye barabara iliyoko gari c ni minor road(low volume of vehicles road) na barabara kwenye gari A ni major road(large volume of vehicles road) gari A litakuwa la kwanza kuondoka kwa sababu liko major road (first priority to vehicle C) halafu ni straight moving vehicle (first priority to vehicle B).

Gari A likiisha ondoka gari B na gari C yanaweza kuondoka kwa wakati mmoja kwa sababu they do not conflict.
yaani there is no any point of collision for vehicle C and vehicle B.
 
nakubali
 
sasa jibu ni nini. Majibu mengi kaa nzi chooni
 
ki uhalisia jibu ni gari b ila kiufundi gari yoyote yaweza kuwa ya mwisho hapo kutokana na speed na nature ya barabara
 
Hapo gari linalotangulia ni A tu. B na C yanaweza pita kwa muda moja
 
Back
Top Bottom