Bajeti ya chato ilipitishwa na Bunge?Mimi alipomkataa Prof Asad kwa kupitia ndugai walimvua viatu kwenye kamati yao ya kihuni niliumia sana kwa kweli nikajua hapa hakuna biashara tushapigwa ingawaje mwanzo nilikua naona Kama kuna kazi inafanyika mara sijui bunge live hakuna mara taarifa habari za itv ziungwe kutoka TBC nikajua kazi tunayo hapa watu wapo milion ya 60 harafu unagawa hela kama sandakalawe barabarani kwa wachache baada ya kutengeneza mazingira kwa wote ndio kwanza matajiri unawachukia...
Kule maliasili sheria za fedha ndo zilikuwa hazifuatwi kabisa, ni kana kwamba mtu analipa pesa kutoka mfukoni mwake.....hadi wasanii walikuwa wanajipatia pesa kiulaini pale.....hapo mtumishi wa umma unasota miaka sita huna hata nyongeza na kila siku unaamka alfajiri kuwahi kazini, dah! haya mambo...
Kama unabisha nenda huko Facebook kila post ninazosoma wananchi wamecharuka balaa.
Ukitaka ucharukiwe basi mzushie baya JPM.
Wakuu hakika huyu alikua ni mtu wa Mungu. Na nilichogundua wananchi hawatoweza kuelewa chochote yaani ni wanampenda JPM.
Ngoja niendelee kusoma post Facebook.
Bora amewahi.Thus alitaka kubadili katiba atawale milele kuficha madudu yakeMzee akifufuka leo anaweza kuzimia tena kwa hasira za watu
Ukiona mtu mkali jua anaficha uchafuTuliaminishwa hakuna wezi kumbe ovyo kabisa watu wanakula pesa kilaini kabisa
Mama hawezi semwa kama kimungu mtu cha mataga kimeumbuka kitetezi cha majizi CAG choma nyumba baba make alikua akiwatisha ukweli mkaufisha sasa hayupo nanyie fungukeni kwa hasira usiombe jamani maji uyazuilie siku mzuiliaji asipokuepo nakwambia namba mtaisoma mtaa mzimaNa mama na yeye akimaliza mtamsema tu
Kwani bunge lilikuepo Mkuu mpaka wajadili kitu...Bajeti ya chato ilipitishwa na Bunge?