Kwa madudu anayoanika CAG, kumbe Magufuli uongozi wake ulikuwa sifuri tu

Uko sahihi lakin Rais ndiyo mkuu wa yote, ukipokea ushauri, ukaweka sheria zinazotekelezeka hali inaweza kupungua.

Mfano Rwanda nasikia ukiiba na ikabainika wazi,

unawekwa wazi, kwenye media, ndg zako wote wanachunguzwa na ukoo na kuna uwezekano mkubwa hata ndg zako wote walioko serikaln wakaachishwa kazi maana hiyo familia hamuaminiki.

Hivyo kuna sheria ambazo kabla ya serikal kukumulika unakarishwa na ukoo kukuonya maana utaponza ukoo wote na familia.

Nchi za china na kwa Kim mzee wa kidukuu mbona haya mambo hayapo,

Ukiwa dikteta na sheria sahihi wizi unaweza kuisha bana,,ila shida wapi uliona mtu aliyeiba pesa nyingi akafungw tz, unaiba mamilioni unafungwa miezi au,kifungo cha nje na kufagia mhimbili
 
Nikamavile kapisha uchunguzi
 
Mkuu risiti ya manunuzi ya ndege ulionyeshwa copy?,Ila wewe ukinunua mafuta Diesel Lita Moja ukasahau kuchukua risiti faini 300000= ,nahapo ujue kila station ina pump Zilizounganishwa na EFD machine automatically.

Mwamba alikuwa MTU mbaya sana,acha alale tu.
 
Jiwe alikuwa ni muhuni tu pia mwizi na jambazi aliyeliibia Taifa letu kuliko mtu mwingine yeyote yule. Na yule mwizi mwenzie Dotto James anajua wizi wao wote tangu 2015 hadi anafariki.
 
Sijawahi wakubali kwenye uongozi wavaa mabangili wanaushamba wa makusudi
 
Wasukuma buana,kwa hiyo huwataja hao wapinzani ndiyo utetezi kuwa meko na genge lake hawakutupiga?
Najua unapenda kutukana na kukashifu wengine. Hiyo ni haki yako japo ingependeza mno kama pia ungeheshimu maoni ya wengine kwa sababu nao wana haki ya kutoa maoni yao sawa tu na wewe. Hapo hata sijui Usukuma unaingiaje kamanda.

Mimi sipo katika ushabiki wenu huu wa kisiasa uliopitiliza kwa sababu hautufikishi po pote wala kutusaidia cho chote. Kama mifumo ni hii hii, na taasisi zetu ni hizi hizi legevu hata uje wewe mwenyewe uwe rais tutaendelea kupigwa tu. Hiyo ndiyo hoja yangu ya msingi. Hata kwa huyu mama tutaendelea kupigwa tu...na atakayekuja....na ajaye...na mwingine...

Mpaka lini?
 
Inaumiza Sana kuona mtu mnaye muamini ndiye anaye waumiza ,Kwa mikwala ya JPM watu tulidhani Ni mlinzi wa lasilimali za nchi, kumbe hamna kitu!
 
Tumepigwa,sana huku tukipepewa eti wanyonge yaani, ukisikia CAG ukaona watu hawana ajira, unyanyasaji, wafanyakazi,unaweza kusema Asante Mungu,kwa kila jambo maana utabakia na hasira na huna cha kufanya
Watu wameiba sana kwa mgongo wa wanyonge
 
Inawezekana alikuwa analinda lakini wasaidizi wake wametuibia sana sana
Inaumiza Sana kuona mtu mnaye muamini ndiye anaye waumiza ,Kwa mikwala ya JPM watu tulidhani Ni mlinzi wa lasilimali za nchi, kumbe hamna kitu!
 
Watanzania sijui tumerogwa na nani. Hivi kwa mtu ambaye ana dhamira ya kweli ya kupambana na ufisadi angediliki kuzuia vyombo vya habari visifanye kazi zake kwa uhuru. (Mfano Mwanahalisi liliandika habari ya ufisadi ndani ya ofisi ya mkuu ) kwa habari hiyo likafungiwa moja kwa moja mpaka leo.
Je mtu anayetaka kupambana na ufisadi angediliki serikali kujitoa kwenye mkataba wa kuendesha serikali kwa uwazi?

Hatujiulizi kwa kitendo cha kujitoa kwenye huo mkataba lengo ilikuwa ni kuficha kitu gani?

Je mtu anayetaka kupambana na ufisadi angethubutu kunyamazisha wapinzani na wanaharakati ambao kwa kiasi kikubwa ndio whistle blowers wa vitendo vya ufisadi kutoka kwa watendaji wa serikali?

Majibu ya maswali hayo ni kwamba tulitumia nguvu kubwa kuminya hizo taarifa oli wakati tunapiga asiwepo wa kutubughudhi.
Kwanini hakutaja maovu yote kwenye serikali ya Hayati?
Angeanzia wapi wakati alipigwa mkwara kwamba asiende kujifanya nayeye ni mhimili mwingine wa serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…