Mwendazake alijua kutufool sana, tena aliapa kwa majina yote ya Mungu kwamba anaunchungu na rasilimali zetu, waliotaka kusema waliwekwa ndani na wengine kupigwa risasi, mwisho wa siku yote yamekua waziTumepigwa,sana huku tukipepewa eti wanyonge yaani, ukisikia CAG ukaona watu hawana ajira, unyanyasaji, wafanyakazi,unaweza kusema Asante Mungu,kwa kila jambo maana utabakia na hasira na huna cha kufanya
Alipomuweka mpwa wake kuwa pay master general ndipo spices za upigaji zilianza kunukia.Meko na genge lake walikuwa wapigaji wa kuwekewa mfano...
Alivyompiga chini Prof Assad kipindi kile wacha Mungu tulishajua lengo lake...
Tukapiga goti kumwomba Mungu alikomboe taifa kwa namna anayoona inafaa...
Mungu akajibu maombi yetu kwa kufanya maamuzi magumu...
Amepiga pesa kwa mgongo wa utalii, hawa wote wachukuliwe hatuaKINGWALA ukimfatilia unaona wazi,kabisa,hata ubunge alipasa kukosa ni basi tu ameshaupata.
Ndio maana hakutaka watu waseme, walizibwa midomo na akamjengea kila mtu hofuJamaa lilikua lipigaji kinyama.
AiseeWakuu na wadogo wa JF.
Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.
Sina kumbukumbu kamili kama miaka 6 ya jiwe CAG alikuwa anasoma Ukaguzi wake open kama inavyofanyika leo.
Kwa haraka 40% ya pesa ya serikal ilikuwa inaibiwa na wafanya kazi.
Na watu walimuogopa JIWE kipindi cha mwanzo lakini baada ya hapo wizi ulikuwa wa kutisha.
Ukisikia taarifa ya CAG utaona wazi kuwa katika kuthibiti mapato serikal ya JIWE haikumudu hata asilimia 50.
MAMA yetu kipenzi ana kila sababu ya kukaa na kamati wabuni mfumo wa kuthibiti wizi huu zaidi ya hapo TZ ni shamba la BIBI.
Pia nashauri MAMA AUNGANE NA KIDUKU KIM WA KOREA KUHUSU SHERIA ZAKE UKILA KUANZIA MILIONI 1, TUNYONGE TU HAKUNA NAMNA.
Mizizi ya Tz kuhusu,wizi kwa watendaji haiwezi kuisha kwa hali tu tuliyofikia kwa sheria zetu hizi lege lege.
Nasikia KAGAME amekomesha kabisa wizi cjw alifanyaje.
Nimeanza kuamini kumbe JIWE kuondoka inawezekana ni mpango wa SIR GOD mtenda haki.
Sifurahi kifo chake lakini tulifichwa mengi.
MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU MBARIKI SSH RAIS WETU MPYA.
Wasipochukuliwa hatua hatutakua na imani na serikali tenaAlipomuweka mpwa wake kuwa pay master general ndipo spices za upigaji zilianza kunukia.
Ndiyo maana alisema nchi ni tajiri maana alizungukwa na neema ya pesa pande zote. Alikataa lockdown ili punda wafanye kazi wamletee pesa.Ukisikia hii taarifa ya CAG unaweza kupiga ukunga hlf ukalinganisha na hali ya maisha ya Watz.
Kwa taarifa yako hakuna kipindi ambacho watu walipiga pesa kama kipindi cha Magu. Unajua kwa nini? ukitaka kujua wabaya na wazuri wako, wape watu uhuru wa kuongea utajua mambo mengi na unaweza kujikagua. Huku wilayani, wakurugenzi wanapiga hela kama nini Mkurungezi wa Buhigwe na DMO wake wezi wakubwa na hakuna mtu anayewashtukia.Wakuu na wadogo wa JF.
Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.
Sina kumbukumbu kamili kama miaka 6 ya jiwe CAG alikuwa anasoma Ukaguzi wake open kama inavyofanyika leo.
Kwa haraka 40% ya pesa ya serikal ilikuwa inaibiwa na wafanya kazi.
Na watu walimuogopa JIWE kipindi cha mwanzo lakini baada ya hapo wizi ulikuwa wa kutisha.
Ukisikia taarifa ya CAG utaona wazi kuwa katika kuthibiti mapato serikal ya JIWE haikumudu hata asilimia 50.
MAMA yetu kipenzi ana kila sababu ya kukaa na kamati wabuni mfumo wa kuthibiti wizi huu zaidi ya hapo TZ ni shamba la BIBI.
Pia nashauri MAMA AUNGANE NA KIDUKU KIM WA KOREA KUHUSU SHERIA ZAKE UKILA KUANZIA MILIONI 1, TUNYONGE TU HAKUNA NAMNA.
Mizizi ya Tz kuhusu,wizi kwa watendaji haiwezi kuisha kwa hali tu tuliyofikia kwa sheria zetu hizi lege lege.
Nasikia KAGAME amekomesha kabisa wizi cjw alifanyaje.
Nimeanza kuamini kumbe JIWE kuondoka inawezekana ni mpango wa SIR GOD mtenda haki.
Sifurahi kifo chake lakini tulifichwa mengi.
MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU MBARIKI SSH RAIS WETU MPYA.
Naam! Now we are talking. Tuchukulie huo mfano wa Rwanda. Jamii yote ikitambua hivyo. Na watoto mashuleni huko wakafundishwa hivyo. Wanakua wanajua aibu ya rushwa; na kuichukia. Hivyo ndivyo unavyoweza kubadili mfumo na fikra za jamii na kuleta mabadiliko ya kudumu. Kufanya vinginevyo ni kujidanganya.Uko sahihi lakin Rais ndiyo mkuu wa yote, ukipokea ushauri, ukaweka sheria zinazotekelezeka hali inaweza kupungua.
Mfano Rwanda nasikia ukiiba na ikabainika wazi,
unawekwa wazi, kwenye media, ndg zako wote wanachunguzwa na ukoo na kuna uwezekano mkubwa hata ndg zako wote walioko serikaln wakaachishwa kazi maana hiyo familia hamuaminiki.
Hivyo kuna sheria ambazo kabla ya serikal kukumulika unakarishwa na ukoo kukuonya maana utaponza ukoo wote na familia.
Nchi za china na kwa Kim mzee wa kidukuu mbona haya mambo hayapo,
Ukiwa dikteta na sheria sahihi wizi unaweza kuisha bana,,ila shida wapi uliona mtu aliyeiba pesa nyingi akafungw tz, unaiba mamilioni unafungwa miezi au,kifungo cha nje na kufagia mhimbili
Shemeji njoo nikupikie kitawaMeko na genge lake walikuwa wapigaji wa kuwekewa mfano...
Alivyompiga chini Prof Assad kipindi kile wacha Mungu tulishajua lengo lake...
Tukapiga goti kumwomba Mungu alikomboe taifa kwa namna anayoona inafaa...
Mungu akajibu maombi yetu kwa kufanya maamuzi magumu...
Meko na watu wake wametupiga sana ndo maana hakutaka vyombo huru vya habar na upinzanWakuu na wadogo wa JF.
Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.
Sina kumbukumbu kamili kama miaka 6 ya jiwe CAG alikuwa anasoma Ukaguzi wake open kama inavyofanyika leo.
Kwa haraka 40% ya pesa ya serikal ilikuwa inaibiwa na wafanya kazi.
Na watu walimuogopa JIWE kipindi cha mwanzo lakini baada ya hapo wizi ulikuwa wa kutisha.
Ukisikia taarifa ya CAG utaona wazi kuwa katika kuthibiti mapato serikal ya JIWE haikumudu hata asilimia 50.
MAMA yetu kipenzi ana kila sababu ya kukaa na kamati wabuni mfumo wa kuthibiti wizi huu zaidi ya hapo TZ ni shamba la BIBI.
Pia nashauri MAMA AUNGANE NA KIDUKU KIM WA KOREA KUHUSU SHERIA ZAKE UKILA KUANZIA MILIONI 1, TUNYONGE TU HAKUNA NAMNA.
Mizizi ya Tz kuhusu,wizi kwa watendaji haiwezi kuisha kwa hali tu tuliyofikia kwa sheria zetu hizi lege lege.
Nasikia KAGAME amekomesha kabisa wizi cjw alifanyaje.
Nimeanza kuamini kumbe JIWE kuondoka inawezekana ni mpango wa SIR GOD mtenda haki.
Sifurahi kifo chake lakini tulifichwa mengi.
MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU MBARIKI SSH RAIS WETU MPYA.
Naunga mkono hoja[emoji106]Hela ilikuwa inaibiwa na wachache , na wanaiba kweli kweli sababu hakuna wa kuwanyooshea , uwazi ulikuwa hamna ,hela iliyobak wanapewa wachina kwenye kandarasi kubwa nao wanaipeleka yote kwao , huku ndani mnabaki hamna kitu .... Kipind cha kikwete wezi walikuwa wengi na wanawekeza humu humu so hela inamfikia kila mmoja Kwa sehemu yake .... Jiwe alikuwa worst president ever basi Tu tusiongee Sana ....