Ukisema tupige kura tena, wagombea ni akina nani? Ni haohao waliopo kwenye system.Kwa nini Majaliwa tu?? SAMIA SULUHU HASSAN inabidi naye ajiuzulu, tungekuwa na bunge msumeno lingepiga VOTE of No Convidence hawa wote waondoke, hata madudu yalilindwa na wao, waondoke Uchaguzi mwingine ufanyike. Au apewe Interim President tuweke katiba MPYA. Full spot.
Kwa nini Majaliwa tu?? SAMIA SULUHU HASSAN inabidi naye ajiuzulu, tungekuwa na bunge msumeno lingepiga VOTE of No Convidence hawa wote waondoke, hata madudu yalilindwa na wao, waondoke Uchaguzi mwingine ufanyike. Au apewe Interim President tuweke katiba MPYA. Full spot.
Kwa nini Majaliwa tu?? SAMIA SULUHU HASSAN inabidi naye ajiuzulu, tungekuwa na bunge msumeno lingepiga VOTE of No Convidence hawa wote waondoke, hata madudu yalilindwa na wao, waondoke Uchaguzi mwingine ufanyike. Au apewe Interim President tuweke katiba MPYA. Full spot.
Kujiuzulu hakutasaidia, bali wakiri udhaifu na wakubali kujirekebisha.
Mama aanzishe Mchakato wa katiba mpya itakayo towa mwanya kwa wakosefu kuchukuliwa hatua badala ya kulindwa na katiba, akiwemo Raisi mwenyewe.
Majaliwa anatakiwa kuachia ngazi haraka
Tatizo watanzania wengi ama hawasomibau ni wasahaulifu, mnasahau yeye alikuwa mwenyekiti mwenza wa bunge la katiba, mnataka Majaliwa ajiuzulu wakati huohuo mnasema rais alikuwa hashauriki hamuoni marai yenu yamebeba ajenda fulaniRais wetu mwacheni inawezekana mwenda zake alikuwa hashauriki!
Mwache arekebishe yale aliyokuwa anashauri na kubakia kuzodolewa!
Huyu ndo anafahamu mapungufu yote! Nitamtetea mpaka pale itakapoonekana na yeye anaelekea mle.mle mwa mwandazake!
Msije kuishia kule kule mlipoanzia kumsema JK dhaifu then mkaletewa Dikteta ambaye kila mtu alikuwa analia na kusaga meno. Mara mtamzania kashasahau.
Tumwache arudishe nchi inapotakiwa kuwa! Huenda tukapata hata katiba mpya kipindi hiki!
"Kume kucha kume kucha, mambo ni moto"Ripoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja.
Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima yako.
Nashangaa Mawaziri wanavyokuwa na makamera kuwajibisha vidagaa, wakuu wa shule kisa milioni 2 haikufanya manunuzi sahihi na huku mapapa wanakula watakavyo.
Kassim Majaliwa must go
Kuna watu wanataka waziri mkuu ajiuzulu kwa sababu alikuwepo wakati madudu yanafanyika lakini kwanini unamkimbilia waziri mkuu unaacha msaidizi wake wa karibumakamu wa rais ni kivuli tu na ukizingatia aina ya rais tuliyekuwa nae huwezi kutoa lawama hata 0%..
Asante sana mkuu, hakika una hoja za kuchangamsha kuchwa kuliko wengine. Sasa twende pamoja,Unaonekana mwelewa na asante..
1. Hasara ya ATCL inatokana na Break Even point ama upya wa biashara yake na corona...
Unaweza kukubaliana na hilo?
Kuna watu wanataka waziri mkuu ajiuzulu kwa sababu alikuwepo wakati madudu yanafanyika lakini kwanini unamkimbilia waziri mkuu unaacha msaidizi wake wa karibu
Sasa mtapata akili, watu wanadai katiba mpya ili iongoze nchi hamkutakaHata Rais wa sasa aachie ngazi maana alikuwa sehemu ya serikali, hilo jambo haliwezekani wote waliohusika na ubadhilifu washugulikiwe ikiwemo spika kwani alionywa muda mrefu kwa bunge kushindwa kuisimamia serikali.
Alikuwaa anasema Chagua Magufuli, mara Serikali yangu, Mara ccm ya Magufuli, blah blah kibao. Awamu zilizopita waliiba, ila hii ya jamaa wamekombaHii ripoti ya CAG imetuonyesha,kutufundisha na kutuonya kuwa tunahitaji taasisi imara na siyo mtu mmoja mwizi na fisadi anayejidai na kujinadi imara.
ni haibu, hadi kwenye ofisi yake kuna madudu. Tangu aseme uwongo akiwa msikitini kuhusu ugonjwa wa JPM, sina imani naye tena. Ogopa mtu anayesema uwongo msikitini...Ripoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja.
Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima yako.
Nashangaa Mawaziri wanavyokuwa na makamera kuwajibisha vidagaa, wakuu wa shule kisa milioni 2 haikufanya manunuzi sahihi na huku mapapa wanakula watakavyo.
Kassim Majaliwa must go