Kwa madudu ya Epstein files, bado unaamini Israel ni taifa teule?

Men who are not found in the Epstein files.

1. Imam Khamenei

2. Vladimir Putin

3. Xi Jinping

4. Kim Jon Un

And these are the people America hates.

I wonder why that is ?
Kuna viongozi kibao wa nchi za kiarabu hapo middle east, naona hao umefunga macho kama hujawaona vile 😂
 
Khs uwepo wa Israel hapo ilipo naona unajitoa ufahamu 😂

N Sawa na kusema Tanganyika imetambuliwa baada ya German/UK kuanza kutawala, kwamba haikuwepo kabla.

Sawa, na mm nasema mbona kwenye huu ulimwengu Palestine haitambuliki kama nchi, vp kwahy tuseme Palestine haipo?
 
swali zuri, my take hapo ni Kwamba kwanini taifa lililoteuliwa na Mungu lilihitaji miaka 1940 baada ya yesu ili litambuliwe na wanadamu?

Mbaga Jr
 
Kwa hiyo na wewe ni msukule? From your point of view wafia Ukristo ni module(you might be right) but it should also apply to the Muslims nao ni misukule vilevile.
Kupokea dini za kuletewa na matapeli wa zamani(myths) na kuwa brainwashed kiasi kwamba unaziamini mia kwa mia lazima uwe msukule. Dini zote zina upumbavu mwingi sana kiasi kwamba ni misukule pekee ndiyo inaweza kuziamini.
 
swali zuri, my take hapo ni Kwamba kwanini taifa lililoteuliwa na Mungu lilihitaji miaka 1940 baada ya yesu ili litambuliwe na wanadamu?

Mbaga Jr
Niambie Mfalme Saul, daud na Suleman walitawala Israel enzi hizo Kabila ya Yesu.

Tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua ninyi wenyewe!! Mnatumika kama condoms na waarabu Mme exes hawa UHARO wa waarabu ninyi mmeufakamia kwa kuwa ninyi akili zenu zimeshambulia takataka tu!!

Kipindi cha Yesu Israel ilikuwepo na mji Mkuu ulikuwa Jerusalem!!!!
 
Sababu kuu ya vita hiyo ni epstein's files "the unthinkable war was his only solution"
 
Just the war was his plans to cover up only , and nothing else




Ubakaju , ulawiti , kafara za kibinadamu ndani ya Epstein files ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…