Kwa maelezo haya, kigogo wa Serikalini anayeikandamiza Yanga ikose ubingwa ni nani?

Yanga wamekua kama aslay eti wanaenda kusema kwa mama[emoji38][emoji38]
 
Huyo ni zuzu tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mbona anafahamika Kitambo, na Jakaya Mlisho Kikwete ameshawahi kumchana live.
Sema hata mimi namshangaa anavyojijengea chuki kwa Washabiki wa Yanga wakati anajua kabisa yeye ni Mwanasiasa na hili jambo linaweza kumghalimu
 
Jana nilikuja na Uzi hapa JamiiForums na Kumtaja kuwa ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na nikawakumbusha pia wana Yanga SC kuwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokuwa Madarakani walifaidika nae mno na alibariki Simba SC Kunyanyasika kupitia kwa Mwanae Ridhiwani, aliyekuwa Rais wa TFF wakati huo Jamal Malinzi na Mawaziri hasa Mudhihir Mudhihir.

Tunajua kuwa Rais Mstaafu Kikwete ( mwana Yanga SC lia lia ) hampendi Waziri Mkuu Majaliwa kwakuwa ni Team Magufuli na pia ni mwana Simba SC Kindakindaki.

Anachokifanya sasa Mstaafu Kikwete ni kutumia influence yake Kubwa kwa Rais Samia ili Watu wa Yanga SC na hasa Kampuni ya GSM ambayo wenye Akili tunajua ni yake kwa 85% Wamchafue Waziri Mkuu Majaliwa na wamsakizie kwa Mama ( Rais ) kisha ambadilishe na ateuliwe Mtu wa Kulinda Maslahi yake, awe mwana Yanga SC hasa na aweze pia Kuibeba.

Kila Ia Kheri Ndugu.
 
Mbona anafahamika Kitambo, na Jakaya Mlisho Kikwete ameshawahi kumchana live.
Sema hata mimi namshangaa anavyojijengea chuki kwa Washabiki wa Yanga wakati anajua kabisa yeye ni Mwanasiasa na hili jambo linaweza kumghalimu
Empty set huyo.
Kulikuwa na watu tele huko nyuma waliokuwa wakishikilia wadhifa kama wake na hawakufanya ujinga huo.
 
Huyu bwege anajifanya anajua kila kitu lakini siku si nyingi yatamkuta ya kumkuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…