Kwa maelezo haya ya Wenje, ni wazi kuwa hata wabunge Covid 19 wana baraka za viongozi wa juu

Jambi ambalo linashingaza ni kwamba huyu Abdul anatumika kumchafua Rais wa jamhuri ya Muungano, na Rais mwenyewe amekaa kimya. Ya nini kukaa kimya ukiruhusu watoto na marafiki zake wamchafue kwamba anakuwa influenced na kijana wake? Kama ni kweli, circumstantially possible, basi job description yake iangaliwe upya na walio muweka hapo.
 
we unadhani Uganda alijipeleka mwenyewe??
 
Swali zuri sana ..kwanini Abduli anaangaika..anapata faida Gani..Kuna kitu anakitafuta..
Mtoto wa raisi anafunga safari mpaka Tegeta kwenda kuonana na Lissu Ili amsaidie apate fedha zake, anahangaika huku na huku kumsaidia mtu anaeshinda anampiga spana mama yake, yeye mtoto ananufaika na nini?.
 
Hongera kwa mgao wa Abdul

Leo JF Abdul kapata watetezi
 
Walimsingia Magufuli, baadae spika Ndugai lakini wote hao mmoja marehemu mwingine hayupo madarakani Ila wabunge bado wanadunda.
Zaidi baadhi yao ni wake wa viongozi wa juu Chadema
 
Tatizo kubwa ni kuwa tunajadili vilivyo juu ya uwezo wetu. Unauliza mtoto wa Rais ni nani hapa Afrika? Unadhani hata Makamu wa Rais anamfikia katika kumuinfluence mama yake? Acheni utani! Unajua ADC ni mtu wa muhimu katika kuinfluence Rais!
Sasa mtoto qa raisi ana cheo gani katika hii nchi. Hatuendeshwi ki imla kimfalme kimalilia huu ni uoze yapaswa kuulemeea
 
Umeona kwa jicho la kiroho zaidi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…