Kwa maelezo haya ya Wenje, ni wazi kuwa hata wabunge Covid 19 wana baraka za viongozi wa juu

Kwa maelezo haya ya Wenje, ni wazi kuwa hata wabunge Covid 19 wana baraka za viongozi wa juu

Hayo ndio maisha ya Uongozi wa kiafrika. umeahau mzee ruksa na mkewe??? Umesahau mkwere na nwanae ,,umesahau Jiwe na kondakta. ofcoz unachoongelea kwenye miiko ya kazi sio sawa na ndio maana najua Abdul atakuja kumruka maana hapo bi mkubwa ashachafuka.....ila ndo africa hii miiko ya kazi imebaki kwenye kazi za kutambika tu
Jambi ambalo linashingaza ni kwamba huyu Abdul anatumika kumchafua Rais wa jamhuri ya Muungano, na Rais mwenyewe amekaa kimya. Ya nini kukaa kimya ukiruhusu watoto na marafiki zake wamchafue kwamba anakuwa influenced na kijana wake? Kama ni kweli, circumstantially possible, basi job description yake iangaliwe upya na walio muweka hapo.
 
Jambi ambalo linashingaza ni kwamba huyu Abdul anatumika kumchafua Rais wa jamhuri ya Muungano, na Rais mwenyewe amekaa kimya. Ya nini kukaa kimya ukiruhusu watoto na marafiki zake wamchafue kwamba anakuwa influenced na kijana wake? Kama ni kweli, circumstantially possible, basi job description yake iangaliwe upya na walio muweka hapo.
we unadhani Uganda alijipeleka mwenyewe??
 
Swali zuri sana ..kwanini Abduli anaangaika..anapata faida Gani..Kuna kitu anakitafuta..
Mtoto wa raisi anafunga safari mpaka Tegeta kwenda kuonana na Lissu Ili amsaidie apate fedha zake, anahangaika huku na huku kumsaidia mtu anaeshinda anampiga spana mama yake, yeye mtoto ananufaika na nini?.
 
NI UPUMBAVU WA HALI YA JUU KUWA MTOTO WA RAIS HAWWEZI KUTUMIA INFLUENCE YAKE KUMSHAWISHI MAMA YAKE WAKIWA NYUMBANI KUMLIPA MTU. TUNAPATA FAVOUR KWA KUWATUMIA WATU WALIO KARIBU NA WENYE MADARAKA. NDIVYO ILIVYO DUNIANI KOTE.

UKITAKA KUTOA RUSHWA KWA JAJI /HAKIMU HUENDI WEWE KICHWA KICHWA, UNAMTUMIA MTU ALIYEKARIBU NA JAJI/HAKIMU ETC ETC
Hongera kwa mgao wa Abdul

Leo JF Abdul kapata watetezi
 
Walimsingia Magufuli, baadae spika Ndugai lakini wote hao mmoja marehemu mwingine hayupo madarakani Ila wabunge bado wanadunda.
Zaidi baadhi yao ni wake wa viongozi wa juu Chadema
 
Tatizo kubwa ni kuwa tunajadili vilivyo juu ya uwezo wetu. Unauliza mtoto wa Rais ni nani hapa Afrika? Unadhani hata Makamu wa Rais anamfikia katika kumuinfluence mama yake? Acheni utani! Unajua ADC ni mtu wa muhimu katika kuinfluence Rais!
Sasa mtoto qa raisi ana cheo gani katika hii nchi. Hatuendeshwi ki imla kimfalme kimalilia huu ni uoze yapaswa kuulemeea
 
Ni kiri wazi kuwa kwa maelezo haya ya wenje baada ya kumsikiliza kwa makini! Kuna maswali mengi yanakosa majibu kutoka kwa wenje! Ni upumbavu wa hali juu kuwa haki yako iliyo kisheria mtoto wa rahisi ndio akufanyie mpango ulipwe as if hayo madai anayedaiwa ni mama yake!

Swali langu kwa wenje kwahiyo watu wote tunaoidai serikali malimbikizi ya pesa, wastaafu nk tupitie kwa abdul ndo tupate pesa hizo? Kwa hili tu wenje amethibitisha kuwa ni mtu wa kuongeka kirahisi, ni mtu asiye na msimamo, mla rushwa, na kama kweli ametanganza nia ya kugombea makamu mwenyekiti maanake ana baraka za mbowe hii ni kumaanisha tundu lissu amekuwa mwiba kwenye ile top system wanataka wamuondoe ili waweze kula vizuri, hata wabunge covid 19 ni mchongo wa mbowe na machawa wake! Hili halina ubishi!

Huwezi kushindana na haki, tundu lissu angekuwa ni muongo na mtu asiyetetea haki Mungu asingemuokoa na zile risasi 16, na kusudi la Mungu litasimama hata leo! Anayeshindana na lissu ajue anashindana na mwenye kusudi na lissu ambaye ni Mungu! Ukiishi kwenye haki utakuwa jasiri na hamna wa kukutisha maana wewe unalindwa na Mungu!

Wenje peleka porojo zako kwa wala rushwa wenzako! Watanzania wa leo sio wale wa zungusha mikono tena wana utashi wa kungamua uongo na ukweli! Usijitetee!
Umeona kwa jicho la kiroho zaidi mkuu
 
Back
Top Bottom