neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Ni kiri wazi kuwa kwa maelezo haya ya wenje baada ya kumsikiliza kwa makini! Kuna maswali mengi yanakosa majibu kutoka kwa wenje! Ni upumbavu wa hali juu kuwa haki yako iliyo kisheria mtoto wa rahisi ndio akufanyie mpango ulipwe as if hayo madai anayedaiwa ni mama yake!
Swali langu kwa wenje kwahiyo watu wote tunaoidai serikali malimbikizi ya pesa, wastaafu nk tupitie kwa abdul ndo tupate pesa hizo? Kwa hili tu wenje amethibitisha kuwa ni mtu wa kuongeka kirahisi, ni mtu asiye na msimamo, mla rushwa, na kama kweli ametanganza nia ya kugombea makamu mwenyekiti maanake ana baraka za mbowe hii ni kumaanisha tundu lissu amekuwa mwiba kwenye ile top system wanataka wamuondoe ili waweze kula vizuri, hata wabunge covid 19 ni mchongo wa mbowe na machawa wake! Hili halina ubishi!
Huwezi kushindana na haki, tundu lissu angekuwa ni muongo na mtu asiyetetea haki Mungu asingemuokoa na zile risasi 16, na kusudi la Mungu litasimama hata leo! Anayeshindana na lissu ajue anashindana na mwenye kusudi na lissu ambaye ni Mungu! Ukiishi kwenye haki utakuwa jasiri na hamna wa kukutisha maana wewe unalindwa na Mungu!
Wenje peleka porojo zako kwa wala rushwa wenzako! Watanzania wa leo sio wale wa zungusha mikono tena wana utashi wa kungamua uongo na ukweli! Usijitetee!